Wachaga wakeketaji mahiri!

Ila makabila ya huko ni balaa maana kuna wa mbulu wa iraq,hao nasikia ndo balaa ila kwa wachaga mhh ni sawa na kuambiwa eti wanyakyusa wanakeketwa hahahaaa napita tu jamani dahhh
 
hii kitu ilikuwepo but not exist now,imeisha baada ya kampeniza fgm kushamimiri.that the truth.

Thanks mkuu. Nadhani hii kitu imefanywa na makabila mengi hapa nchini na Africa long time ago ila kuna wengine wanafanya kisiri pengine na wachagga wanaweza kuwa miongoni.
 
wachaga wanakeketa, lakini si wote. asilimia kubwa ya wale waliozaliwa na kukulia vijijini huko klm wamekeketwa, labda hao wanaozaliwa mijini ndio hawakeketwi. wa mjini wanaachwa, ila wale wa vijijini wanakeketwa. nawafahamu wanawake wengi tu wamekeketwa ni wa kichaga, tena wa Rombo. kuna mmoja anafikisha miaka 35 kuolewa haolewi, ni mzuriii, kila mwanaume akienda anakuta hana beans, anamlamba mara moja tu analala mbele. this is one of the most traumatic thing to live with, kukeketwa. nimeshalamba wanawake wengi tu wa kichaga na wamekeketwa, mimi mwenyewe ni mchaga. tuombe Mungu mambo haya yaishe kwani yamepitwa na wakati.
 
You are among the fewest inds, coming from that area, who know how to approach issues intelligently. Kutukana pekee hakutoshi kama unachokitolea matusi kina ukweli ndani yake.
 
Kweli mkuu makabila mengi hapo miaka ya nyuma walikuwa wakikeketa ila hayo mambo yamepungua miaka ya hivi karibuni. Ila ukigonga wenye miaka 40 na kuendelea lazima utaikosa memory card! Makabila kama wapare, wachaga, wagogo, wakurya, nk. walikuwa wakikeketa. Kuna wengine wameacha ila wengine wanafanya kwa siri mfano huko Ukuryani na ugogoni.

kweli mkuu
 
Watanzania kwa kubisha vitu bila sababu za msingi. Hata tukiambiwa ukweli huwa tunabisha. Ni kweli inaweza wasiwe wote lakini ukweli ni kwamba wanawake wa kichaga wanatahiriwa, mimi niliowahi kukutana enzi hizo tena weliozaliwa miaka ya 80. Sema tuseme wamekulia wapi. Kama alizaliwa Kibosho, Rombo, Machame nk na kukulia unategemea itakuwa tofauti. Kwa wale wa waliokulia Dar inawezekana wakawa hawajatiriwa. Nikiri kabisa sijawahi kukutana na mwanamke wa Kichaga hajatairiwa.Wakurya, wanyiramba,wanyaturu,wamasai sio gumzo kwa sababu wako open kwenye hiyo culture ila wachaga wanafanya kwa siri sana
Mimi nilikuwa nawaambia watu lakini wananibishia sana, Sasa Kijoka na wengine wamenifumua macho. Naanza kuamni sana wengi wetu ni wale wa kuzima taa na chomeka twende, sio watu wa kusurvey sehemu hiyo muhimu kwenye mapenzi
 
Nimeshangazwa na taarifa kuwa takribani wanawake wote wa kichaga wamekeketwa. Taarifa hizi nimezipata kutoka kwa watu wanne ambao ni wachaga na wanawake. Wao pia wamekiri kuwa wamekeketwa ila tangu wakiwa wadogo.

Je, ni kweli kuwa ukeketaji uanendelea kimya kimya katika makabila mengi TZ? Je hii ndo sababu ya hawa jamaa kudaiwa kutojua mambo?

Tujadili.

kwa kweli tangu nimekua na akili zangu najua wachaga hawafanyi hii kitu labda wakurwa
 
wachaga wanakeketa, lakini si wote. asilimia kubwa ya wale waliozaliwa na kukulia vijijini huko klm wamekeketwa, labda hao wanaozaliwa mijini ndio hawakeketwi. wa mjini wanaachwa, ila wale wa vijijini wanakeketwa. nawafahamu wanawake wengi tu wamekeketwa ni wa kichaga, tena wa Rombo. kuna mmoja anafikisha miaka 35 kuolewa haolewi, ni mzuriii, kila mwanaume akienda anakuta hana beans, anamlamba mara moja tu analala mbele. this is one of the most traumatic thing to live with, kukeketwa. nimeshalamba wanawake wengi tu wa kichaga na wamekeketwa, mimi mwenyewe ni mchaga. tuombe Mungu mambo haya yaishe kwani yamepitwa na wakati.

Ok. Tunashukuru mkuu. Usiri unatuharibia mengi wa Africa.
 
You are among the fewest inds, coming from that area, who know how to approach issues intelligently. Kutukana pekee hakutoshi kama unachokitolea matusi kina ukweli ndani yake.

Tusi mbona silioni hapa! Du! Lkn tusi ni just perception
 
Smile and be happy, kama haikuhusu huna haja ya kuwa na jazba Smile. Wewe lete hoja tu, kukataa au kukubali.

Kwa jinsi alivyojibu smile, inaonyesha mbili, kwa mbili kama si moja kwa moja anapinga hoja.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom