Mimi nafanya kazi Supermarket hapa Clarendon Road London and i am paying my bills, sijui habari ya mgao wa umeme, ukame, ubovu wa huduma za hospitali na mengineyo..
Waambie wakutumie picha wakiwa ofisini
Boss nna dili la visa. . . UNATAKA?
kitu kimoja ni kuwa wabongo tusaidiane kwenda nje wengi iwezekanavyo
hata kama huko nje kazi ni za vibarua,lakini kama kuna mtu unamjua anataka kwenda nje
ni vizuri kumsaidia......
tazama wafilipino .
wengi wao wanafanya kazi za chini mno nje ya kwao
lakini pesa wanayotuma kwao kwa pamoja ni zaidi ya bajeti yetu(kama sijakosea data)..
tazama wa Nigeria....wapo zaidi ya milioni 20 nje ya Nigeria na
pesa wanayotuma kwao na biashara tu ya makampuni ya ndege kwenda na kurudi Nigeria
ni billions of dollars....
nilishangaa mno kusikia watanzania waliopo marekani ni elfu themanini tu
na waliopo UK ni elfu thelathini tu....
inawezekana data sio sahihi but bado wa TZ wako wachache mno nje.....
tujitahidi kutoka nje wengi iwezekanavyo na huko nje kuanzishwe Organisations
za kusaidiana kwenye mambo kama ada za vyuo na kadhalika....
kuna vitu tunaweza ku organise kama friendly match ya football kati ya taifa stars na USA hivi
na pesa ikaenda kwenye 'kusaidia ada za wabongo wanaosoma USA' na kadhalika...
inawezekana kabisa...
Hayo ni mawazo mgando kama vile wazungu ulaya bado wanafikiri wa afrika bado tunalalaNina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
Nijuavyo mimi majuu ni nchi yoyote nje ya TZ na Africa...Sasa sisi tulio asia na larin america mbona umetutenga?
kweli aisee, picha zao ni mapori na misitu, wamasai, na vitoto vyenye nzi hadi ndani ya puaHayo ni mawazo mgando kama vile wazungu ulaya bado wanafikiri wa afrika bado tunalala
kwenye miti na tunakunya tukiwa juu ya miti
Katika kusherehekea miaka 50, hapa nilipo tuliambiawa tupo 250 tu!nilishangaa mno kusikia watanzania waliopo marekani ni elfu themanini tu
na waliopo UK ni elfu thelathini tu....
inawezekana data sio sahihi but bado wa TZ wako wachache mno nje.....
NIMEKUTA nchi za far east wana program inayosimamiwa na serikali kuaidia vijana kupata kazi nje ya nchi kwa ajili yamkupunguza makali ya maisha na remittance iongezeke
Boss wabongo kwa kifupi hatuna utamaduni huu sisi tuna roho ya kwanini ingekuwa kusaidiana wengi wangekuwa huko kwanza sisi ni wa kwanza kuchomana wenyewe kwa wenyewe halafu unategemea ni wabongo wangapi watasaidia wenzao kwenda nje kuna wafilipino na wathailand kibao wamejaa Casino za Kilimanjaro Hyatt, Le Grand na Sea Cliff mbongo akiwa nje hata ukiwa unafanya jitihada za kwenda huko utasikia anakwambia huku hakufai usije..kitu kimoja ni kuwa wabongo tusaidiane kwenda nje wengi iwezekanavyo
hata kama huko nje kazi ni za vibarua,lakini kama kuna mtu unamjua anataka kwenda nje
ni vizuri kumsaidia......
tazama wafilipino .
wengi wao wanafanya kazi za chini mno nje ya kwao
lakini pesa wanayotuma kwao kwa pamoja ni zaidi ya bajeti yetu(kama sijakosea data)..
tazama wa Nigeria....wapo zaidi ya milioni 20 nje ya Nigeria na
pesa wanayotuma kwao na biashara tu ya makampuni ya ndege kwenda na kurudi Nigeria
ni billions of dollars....
nilishangaa mno kusikia watanzania waliopo marekani ni elfu themanini tu
na waliopo UK ni elfu thelathini tu....
inawezekana data sio sahihi but bado wa TZ wako wachache mno nje.....
tujitahidi kutoka nje wengi iwezekanavyo na huko nje kuanzishwe Organisations
za kusaidiana kwenye mambo kama ada za vyuo na kadhalika....
kuna vitu tunaweza ku organise kama friendly match ya football kati ya taifa stars na USA hivi
na pesa ikaenda kwenye 'kusaidia ada za wabongo wanaosoma USA' na kadhalika...
inawezekana kabisa...
Una maana wale wanapopiga picha wamesima kwenye majumba ina maana kazi zao ni nini, ni walinzi wa majumba hayo au una maanisha niniHivi wakazi walioko Mwanza wanafanya kazi gani? mfano na mimi huwa wananitumia picha wakiwa mashambani.....
Katika kusherehekea miaka 50, hapa nilipo tuliambiawa tupo 250 tu!