Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

Nina marafiki wengi wapo ulaya na marekani kazi yao ni kunitumia picha walizo piga kwenye majengo mbalimbali, lakini hawaniambii wanafanya kazi gani.Ninavyo wajua kwa kupenda sifa wangekuwa na kazi nzuri wangeniambia haraka .Kama kuna mtu mkweli aseme yeye anafanya nini? huko.
Tunabeba Mabox, Tunasafisha Magari (Car Wash) tunajenga nyumba, tunasafisha Mabarabara, na kazi nyingi tu ngumu karibu unakaribishwa njoo uje ujionee huku majuu kulivyo kugumu ile mbaya lakini pesa zipo mishahara huku ni Euro ,Paund ya Malkia, na dollar ya Obama unakaribishwa karibu........
 
Boss nna dili la visa. . . UNATAKA?
Usiwafanyie mambo ya Viza watakuja kuongezeka bure ulaya ya sasa ni ngumu hakuna kazi kila ulaya kumejaa Wa Romani,Wa Polland,Wa Bulgaria wa Chek wote hao ni Cheap Labor wanafanya kazi kwa bei ya chini mshahara kazi huku hakuna kabisa bibie.
 
MAda kama hizi hapa JF ....huwa nasoma na kupita.....lots of infighting and insuniations...
 
you shouldn't say that its sounds u have abandoned your own nation and you are completely taken by the others
 
Nabeba box kwa saa moja nalipwa 45000 za kitanzania. Na kila siku na nafanya masaa saba na nusu. Na kwa weekend inakuwa 75000 kwa saa. Na siku za sikukuu ni 90000 kwa saa. Nalipwa zaidi ya wabunge wako!!!

Ktk hyo hela unayopata umetoa na gharama unazokatwa huko au umesahau?wenze2 wajanja bana unalipwa hela nyng ila zote zinabaki kwao,,,
 
Nafanya kazi kwenye kampuni ya kuzalisha nishati ya umeme ya kifaransa kwa kifupi edf hapa Japan Kama system engineer and data analysis Sio wote tunabeba box! Unaweza kuwasiliana nami +8180 4444 1220 hata wageni wabeba box hapa uwezi kuwalinganisha kwa kipato, huduma za afya na miundo mbinu Kama nyumbani, je ukipata nafasi ya kubeba box nje utakataa? Au ndio hadithi za sungura sizitaki mbichi hizi angalia sana maisha yako utoke vipi kuliko kuangalia maisha ya watu wengine kwani at the end of the day you will be the loser!
 
Tunapiga box ila linalipa,halafu mambo ya kulogana na maralia hamna huku.bila kusahau vibaka wa ovyoovyo
 
Wengine ni deiwaka tu; yoyote tu tunapiga karibu sana hapa Naperville, Illinois ndani ya Chicago
 
Vinyozi je hakuna? Wadada je,au ndo wanaokimbilia uuguzi.Sema hiyo kodi sasa ukianzisha biashara..

of course kodi ni kubwa.. Lakini kama biashara inalipa hakuna baya.. Mfano kuna jamaa yangu mmakonde yeye yupo oak law hapa illinois ana saloon yake kubwa amabpo ameajiri hadi wamarekani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom