The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,883
There you go... we can do that
On your point re walio nje, wanafanya nini na hesabu yao, i can tell you; hata walio dar/tz (na hasa sasa unemployment ilivyo juu) huwezi kujua wanafanya nini, tumeshindwa kulinda mazao yetu
i think we have hadi kufikia 50% ya wabongo walio kwenye inoformal sector ughaibuni na baadhi yao hawako na details zao kwani walishadestroy. the same kwa bongo, sidhani kama tunaweza kweli kusema nusu ya vijana wa tanzania wanafanya nini!!!! HATUWEZI tunaishia kusema wamejiajiri, which is not true
ningependa sana kuona serikali inasaidia vijana kupata hata zile short term contracts nje na kusaidia zile remittance hata kwenye vitega uchumi from a distance
Nimekuta wakenya wana agents wa equity bank in many countries na jamaa wanasema wakenya wananunua sana nyumba nyumbani kwa kutumia facilities za fedha za marekani under special agreements
there is always alot to learn
mimi nasema serikali ikishindwa tujaribu sisi wenyewe tu
vitu kama events za kitanzania nje ya nchi
mfano miaka 50 ya uhuru tungeweza hata kuwa na big concert london au kwenye miji
ambayo wabongo wapo wengi,mfano Houston....
unakumbuka mandela b day ya london????/