Wabongo mlioko majuu hivi huko mnafanya kazi gani?

Mimi ni MSAIDIZI WA JAJI (judge's legal assistant) hapa Dar, lakini nafikiri thamani ya maisha yangu ni sawa na ya mfanyakazi wa ndani wa malaya wa Ulaya.

Msidharau kazi za hovyo huko majuu, kwani wanajua pia utu wa mtu, kimalipo. Tanzania utumishi serikalini bila kuiba ni sawa na mwanamke kujiuza utupu wake kwa robo bei.

:eyebrows:
 
Na mimi nataka kwenda kupiga kazi Ugiriki, kama kuna mbongo huko anipe data tafadhari
 
Na mimi nataka kwenda kupiga kazi Ugiriki, kama kuna mbongo huko anipe data tafadhari

Wengine watembezi tu wa huko sijui ndio nje!!

Raha ya bongo hata ukiwa blabla tu unakula!! hakuna nguvu nyingi kama alivyosema Rizone kimjinimjini!
 
Mie nilikuwa nacheza Porn wakati naishi Majuu. Pia muda wa ziada kuogesha Vizee na kusafisha nyumba zao.

Mwisho wa siku nilikuwa namalizia kwa kujifanya mnyama kwenye ZOO ya Berlin....

Bado wataka tu picha nikiwa na bibie Sylvia Saint ofisini? Mhhhh, watanipa kifungo cha maisha hapa JF.

Ila leo hii, baada ya kuchumia JUANI, ninakula BATA wangu hapa SIKONGE.
 
Wabongo tunapenda kufuatilia maisha ya watu, isikose kuna wengine wana vidaftari kabisa wana keep track nani yuko wapi, anafanya nini, anatuma kiasi gani kwao etc.
 
I have noticed how frequently people on this forum discuss the topic of Tanzania v Majuu and it seems as though people can`t decide which one is best. Of course home is the best and we all remember it nostalgically, almost always referring to it fondly; unconsciously editing out the dark bits.

I also found that the recurring subject in this topic is that Tanzanians in the diaspora believe their peers in Tanzania to be doing far better than them because they (Tanzanian peers) have already achieved the life goals of marriage, family, careers etc. According to some of them (diaspora), their Tanzanian peers seem to have accomplished all these milestones easily and quickly. Those in ulaya often say that they have to work really hard to get from one goal to the next and even after many years of toiling, they feel they can`t match what their peers in Tanzania have managed to do in the same amount of time.

What some people in the diaspora forget is that they started out with the double disadvantage of being a foreigner and a person of African descent in a land where such people are a small minority. Although some countries are fair to us than others and our African heritage doesn`t affect how we are perceived, it still takes a long time to be accepted and offered an equal place in their society.

I think that it is highly subjective as to what doing better represents to each one of us and appearances can sometimes be deceiving. Displaying your wealthy ostentatiously in a flashy car and living in upmarket Dar es Salaam might be signs of being financially better off and they might be the only determining factors in deciding this but I have found that showing off all that money is often times a burden.

Life is what you make of it and earthly possessions are transitory, we all pass on to another realm in the end and leave it all behind. We should strive to be wealthy in spirit and good to each other. When we die no one remembers us as being super rich and living in a palace. Our legacy lies in how we treat each other. In Tanzania, in ulaya, or in America, it shouldn`t matter where we live.
 
Umenikumbusha shosti wangu tulisoma nae second, akaparangana na maisha kwanza then akaenda chuo RUCO, iringa. By then ni single mother of a boy kid. Akawa jioni anauza counter ya club hapo chuo. Wenzie wakawa wanamsema ati mwanafunzi anauza bar! Akawaambia wanafunzi ulaya huko wote wanauza bar na kufyagia McDonald's, mnashangaa wakija na pamba kali mnajiombesha eh! I really admired her, she was tough!
Mimi ni bar maid.... inanilipa...

Mume wangu ni mwanafunzi...
 
mie kwa sasa niko nyumbani,nakula benefits...ila zamani nilikuwa nafanya kazi kama care assistant,kwenye residential home...kazi yangu ilikuwa kuwalisha,kuwaogesha na kuwalaza vitandani wazee i loved and proud of it too....nashangaa member mmoja ameponda,as if yeye siku moja hatakuwa mzee na hatahitaji msaada,hakuna society isiyokuwa na wazee na wasiojiweza msijidanganye....sema africa hili tatizo limebebeshwa kwa ndugu,na mara nyingi hamuwalipi hao ndugu,.....huku imewekwa kama kazi ili wanaowahudumia walipwe na kulipa tax hivyo uchumi wa nchi yao usiathirike.........ni kazi moja rahisi sana compared na hizo nyingine unskilled,na pia kama uko kind and caring sidhani kama utaifanya ukiwaza ignorance ya mtazamo watanzania juu ya hii kazi.
 
I have noticed how frequently people on this forum discuss the topic of Tanzania v Majuu and it seems as though people can`t decide which one is best. Of course home is the best and we all remember it nostalgically, almost always referring to it fondly; unconsciously editing out the dark bits.

I also found that the recurring subject in this topic is that Tanzanians in the diaspora believe their peers in Tanzania to be doing far better than them because they (Tanzanian peers) have already achieved the life goals of marriage, family, careers etc. According to some of them (diaspora), their Tanzanian peers seem to have accomplished all these milestones easily and quickly. Those in ulaya often say that they have to work really hard to get from one goal to the next and even after many years of toiling, they feel they can`t match what their peers in Tanzania have managed to do in the same amount of time.

What some people in the diaspora forget is that they started out with the double disadvantage of being a foreigner and a person of African descent in a land where such people are a small minority. Although some countries are fair to us than others and our African heritage doesn`t affect how we are perceived, it still takes a long time to be accepted and offered an equal place in their society.

I think that it is highly subjective as to what doing better represents to each one of us and appearances can sometimes be deceiving. Displaying your wealthy ostentatiously in a flashy car and living in upmarket Dar es Salaam might be signs of being financially better off and they might be the only determining factors in deciding this but I have found that showing off all that money is often times a burden.

Life is what you make of it and earthly possessions are transitory, we all pass on to another realm in the end and leave it all behind. We should strive to be wealthy in spirit and good to each other. When we die no one remembers us as being super rich and living in a palace. Our legacy lies in how we treat each other. In Tanzania, in ulaya, or in America, it shouldn`t matter where we live.

Jamaa kaweka comment makini lakini kwa kuwa members wengi wa JF ni vilaza wanaconcentrate kwenye kujibishana na kupoteza umuhimu wa sredi
 
Mimi ni MSAIDIZI WA JAJI (judge's legal assistant) hapa Dar, lakini nafikiri thamani ya maisha yangu ni sawa na ya mfanyakazi wa ndani wa malaya wa Ulaya.

Msidharau kazi za hovyo huko majuu, kwani wanajua pia utu wa mtu, kimalipo. Tanzania utumishi serikalini bila kuiba ni sawa na mwanamke kujiuza utupu wake kwa robo bei.

:eyebrows:

Kazi ulioisomea ungekuwa majuu unalipwa si chini ya dola 3000 Nett. Sasa bongo hako kamshahara sasa.... sema maihsa bongo ni rahisi parangana hivyo hivyo mzalendo usikate tamaa
 
Oya,mbona me nina mpango wa kuzamia india kabla cjaelekea sweden,sa nashangaa mnavoponda wakuu.
 
Mimeona asilimia ya watanzania walioko majuu wanaofanya kazi middle class ni wachache sana wengi ni vidampa vya ndani. Ushauri wa bure wewe kama unadegree yako njoo nyumbani mje kutusaidia kujenga nchi yetu. Acheni kufanya kazi msizosomea , kwa nini ulienda kusoma?
 
kitu kimoja ni kuwa wabongo tusaidiane kwenda nje wengi iwezekanavyo
hata kama huko nje kazi ni za vibarua,lakini kama kuna mtu unamjua anataka kwenda nje
ni vizuri kumsaidia......

tazama wafilipino .
wengi wao wanafanya kazi za chini mno nje ya kwao
lakini pesa wanayotuma kwao kwa pamoja ni zaidi ya bajeti yetu(kama sijakosea data)..

tazama wa Nigeria....wapo zaidi ya milioni 20 nje ya Nigeria na
pesa wanayotuma kwao na biashara tu ya makampuni ya ndege kwenda na kurudi Nigeria
ni billions of dollars....

nilishangaa mno kusikia watanzania waliopo marekani ni elfu themanini tu
na waliopo UK ni elfu thelathini tu....
inawezekana data sio sahihi but bado wa TZ wako wachache mno nje.....

tujitahidi kutoka nje wengi iwezekanavyo na huko nje kuanzishwe Organisations
za kusaidiana kwenye mambo kama ada za vyuo na kadhalika....

kuna vitu tunaweza ku organise kama friendly match ya football kati ya taifa stars na USA hivi
na pesa ikaenda kwenye 'kusaidia ada za wabongo wanaosoma USA' na kadhalika...
inawezekana kabisa...

Nitumie bill yoyote unayotaka...nitakuwa tayari kukopa nilipe au niwaombe wajukuu wachangie......

Babu DC!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom