Vodacom yahonga Wabunge Blackberry

Hapo kwenye red, shida uliyonayo ni kwamba mtu akikupa simu au kitu kingine chochote under the cover of 'promtion' utachukulia hivyo hivyo! Huu ni uvivu wa kufikiri. Unatakiwa kupanua your thinking na kujiuliza the reason behind hicho ulichopewa na uridhike kweli ni promotion and no other interior motives behind.

Sijui umefuatilia kwa kiasi gani mambo ya telecom. Hizo pikipiki, magari, simu wanazotoa hao unaowatetea wao wanahesabu kama sehemu ya kodi! Really, zomba, akili za mbayuwayu ni lazima uchanganye na zako otherwise utaendele kutetea mambo kwa hizi definations za 1st year. Na ndio sababu nilikuuliza 'promotion' inaweza kuwa rushwa, na wewe ukajibu hapana!

Ni wazi huelewi uwepo wa 'fine line' between promotion, lobbying na rushwa and unless ujifunze na uelewe haya mambo utaendelea kutetea mambo kwa hoja za reja reja.

Kuhusu kazi za kamati ya miundo mbinu, kama unaamini sio chochote si lolote, basi niambie ni kwanini Vodacom waende all the way to Dodoma kukutana nao na sio kamati nyingine? Why this committee? Kuna nini special? Promotion? You dont need to be a brain surgen kujua this is beyond promotion.

Tatizo lako ni kuwa upo brainwashed katika biashara ambazo si za kishindani, sasa hivi biashara ni za kishindani wana masoko huwa na mbinu tofauti.

Kumbuka, "targeted marketing" hufanywa pale unapojuwa kuna impact kubwa ya kuwezesha biashara yako kupata "coverage ya kutosha" kwa sasa macho yoote yapo bungeni, hapo inabidi niwape heko wana masoko wa vodacom, wamelenga kweli na mpaka sasa tunazidi kuwapa "promotion" walioikusudia.

Kumbuka, hata vitambulisho vipya wameanza kwa kuwafata wabunge hukohuko mjengoni, kwanini? hiyo pia ni "directional promotion" wanajuwa pale watapata "coverage" kubwa kwa sasa.

Biashara za sasa si kama za wakati wa Nyerere ambapo kila kitu kilikuwa mali ya umma (monopoly) na hauna choice wala hauna ubunifu wa kutafuta masoko. Sasa hivi tumeingia kwenye mfumo wa biashara huru na ya ushindani mkubwa sana hususan kwenye hii biashara ya mawasiliano na anaeweza kuwa mbunifu na ku "capitalize" masoko ndiye anaekuwa kidedea. Na ubunifu tu hapa waliuonesha voda, simu kidogo sana za bure (kamati ya miundo mbinu haizidi watu ishirini, tena hapo nime exaggerate) lakini impact yake kwenye soko ni kubwa sana.

Mpaka sasa hujaleta ushahidi wowote kuwa hiyo ni rushwa. Kama ni mahakamani, kesi yako imeshatupiliwa mbali na hakimu na unalipa na gharama za kesi na unalipa uchafuzi wa jina la kampuni.

Kumbuka ukimtuhumu mtu ni wewe unaetakiwa kuleta ushahidi wa wazi kabisa na si uliemtuhumu. Hapa naona huna ushahidi na unajaribu kuwa mpaka matope. Kila unachokisema ni "hypothesis" hauna "solid evidence" kuwa hiyo ni rushwa.
 
Tatizo lako ni kuwa upo brainwashed katika biashara ambazo si za kishindani, sasa hivi biashara ni za kishindani wana masoko huwa na mbinu tofauti.

Biashara za sasa si kama za wakati wa Nyerere ambapo kila kitu kilikuwa mali ya umma (monopoly) na hauna choice wala
Kumbuka ukimtuhumu mtu ni wewe unaetakiwa kuleta ushahidi wa wazi kabisa na si uliemtuhumu. Hapa naona huna ushahidi na unajaribu kuwa mpaka matope. Kila unachokisema ni "hypothesis" hauna "solid evidence" kuwa hiyo ni rushwa.

1. With all your intellectual powers naomba uniambie ni kwa vipi Vodacom hawapo kwenye top 15 tax payers hapa Tanzania for the last 5 years?

2. Airtel wenye wateja nusu ya Vodacom wanapata mapato mengi zaidi kuliko Vodacom?
 
Usitake kuniaminisha kuwa huwa wanagawa Serengeti moja kwa kila "promotion" ya kwenye bar.
aaaaaaah ! Tuachane na hayo, hebu tuambie voda wana wateja zaidi ya mil 10, pamoja na M pesa transactions, inakuwaje hawa hawako kwenye top 15 ya TRA ???
 
aaaaaaah ! Tuachane na hayo, hebu tuambie voda wana wateja zaidi ya mil 10, pamoja na M pesa transactions, inakuwaje hawa hawako kwenye top 15 ya TRA ???

Kumbuka, kila unavyokuwa mkubwa, msingi unakuwa mkubwa, muda wa kuurudisha msingi unakuwa mkubwa, na hasara zinakuwa kubwa. Lakini hayo ni ya TRA, wao ndio waje waseme wanatoza vipi kodi zao kwa haya mashirika.

Kumbuka katika kodi, kuna tax evasion na kuna tax avoidance kati ya hizo moja ni halali na moja ni haramu. Mashirika makubwa yana wataalaam wa kutumia loopholes za kisheria kupata hilo la halali bila kufanya makosa, inabidi TRA nao wawe na wataalaam na umakini wa hali ya juu katika hilo na pia watu na sheria wajuwe kuzitunga sheria zipasavyo.

Utakuta wengi wa haya makampuni wanatumia upenyo kufanya Tax avoidance kihalali kabisa.
 
kwa mwananchi yeyote asiekuwa muelewa wa usalama wake haswa kama ana hadhi katika jamii(mbunge,waziri,raisi,au mfanyabiashara mkubwa) kutumia black berry ni hatari kwako na kwa usalama wako,simu hizo zimepandikizwa kitu kinachotoa ishara na kupokelewa kwenye makao makuu ya black berry yaliyopo canada,simu ulipopiga ulipopigiwa,message ulizotuma au ulizotumiwa,na vyombo vya ujasusi kama c.i.a wameingia mkataba maalumu na black berry ili kumwaga maelezo kwa mteja yeyote wakati tu watakapoyahitaji.
kwa mimi kitochi ni nafuu kwangu baada ya kuyaelewa hayo.
 
Kumbuka, kila unavyokuwa mkubwa, msingi unakuwa mkubwa, muda wa kuurudisha msingi unakuwa mkubwa, na hasara zinakuwa kubwa. Lakini hayo ni ya TRA, wao ndio waje waseme wanatoza vipi kodi zao kwa haya mashirika.

Kumbuka katika kodi, kuna tax evasion na kuna tax avoidance kati ya hizo moja ni halali na moja ni haramu. Mashirika makubwa yana wataalaam wa kutumia loopholes za kisheria kupata hilo la halali bila kufanya makosa, inabidi TRA nao wawe na wataalaam na umakini wa hali ya juu katika hilo na pia watu na sheria wajuwe kuzitunga sheria zipasavyo.

Utakuta wengi wa haya makampuni wanatumia upenyo kufanya Tax avoidance kihalali kabisa.
"wanakwepa kodi kihalali kabisaa..............! " sasa nimekuelewa !
 
Duh nimepitia hojaa nyingi na zote za wachangiaji naakubaliana naa hoja nyingi,kweli hata me napata BB ya vadacom kila mwaka tena mpyaa sipo selikarini nina biashara zangu tu nafanya lakini nikirudi kwenye mada bwana Ally Komba Vodacom hii wametoa rushwa ukweli nakwambia Directory promotion ipo. Lkn sio kwa kipindi hiki tusidanganyane pengine ww umeweka na hao hao Vodacom humu jamvini uwatete sasa basi rudi kawambie hii ni RUSHWA sawa!leo hii hakuna taasisi wala shirika la fedha linaalofanya Transaction nyingi zaidi ya M-PESA, yanazunguka mabilioni kwa siku uje useme hapa wanaalipa kodi!!!

Hawa jamaa ni noma nawafahamu vizuri sana kwa ujanja ujanja ni wazuri sana hasa wakipata mtu anayehongeka kama hao waliochukua BB pasipokujua!
Hebu kama kuna wataalamu humu wa TRA watudadavulie mwaka jana hawa jamaa walilipa kodi kiasi gani??tukishindwa kupata jibu basi BB zinafanya kazi sehemu nyingi jamani!
Mwisho kbs Vodacom wamewahonga wabunge!!!!!!!!!!
 
"wanakwepa kodi kihalali kabisaa..............! " sasa nimekuelewa !
Kuna kitu hakijakaa sawa kwenye haya masuala ya kodi. Hebu pitia hii kutoka Daily News: DailyNews Online Edition - Mobile phone firm to invest 120bn/-. Sijawasikia TRA wakikanusha habari hii! Sasa kama Voda wanasema wamelipa 700bn lakini kwenye ile taarifa ya waziri mkuu kampuni ya kwanza kwa kulipa kodi ilikuwa na around 165bn kwa miaka mitano (Daily News | Top tax-payers list faulted na Questions surround Prime Minister)!

Kwa hesabu rahisi kama taarifa ya Voda ni ya kweli kwa miaka kumi na moja wamelipa 700bn maana yake ni wastani wa kama sh 63bn kwa mwaka. TBL ambao ndio wanaongoza kwa mujibu wa taarifa ya PM (kama nayo ilikuwa ya kweli!), walikuwa wamelipa sh 165bn kwa miaka sita (2005-2011) ambayo kwa wastani inakuja kama sh 27.5bn. Kwa nini taarifa hizi zinapishana kimantiki? Kwa nini taarifa ya PM ilianzia 2005? Kwa nini hii ya Voda wao wanaanzia 2001? Pesa ambazo Voda inasema imeilipa TRA zinakwenda wapi?
 
Nini lengo lao hao voda? Je mkakati wao wameanza na Kamati ya miundominu kwanza then wanakuja kamati zingine? Kama ni kamati moja tu basi kuna kitu hapo chunguza kwa makini mjomba utabahini tu.
 
kwa staili hii kodi za trilion moja zinazopotea kila mwaka sahauni kuzisikia tena...shilingi laki saba???
 
Unaweza kuta ni marketing strattegy tu, hao wanapewa blackberry za bure lakini unaingia mkataba wa kulipa kila mwezi kwa kipindi kirefu hela yote inarudi VODA.
 
Duh nimepitia hojaa nyingi na zote za wachangiaji naakubaliana naa hoja nyingi,kweli hata me napata BB ya vadacom kila mwaka tena mpyaa sipo selikarini nina biashara zangu tu nafanya lakini nikirudi kwenye mada bwana Ally Komba Vodacom hii wametoa rushwa ukweli nakwambia Directory promotion ipo. Lkn sio kwa kipindi hiki tusidanganyane pengine ww umeweka na hao hao Vodacom humu jamvini uwatete sasa basi rudi kawambie hii ni RUSHWA sawa!leo hii hakuna taasisi wala shirika la fedha linaalofanya Transaction nyingi zaidi ya M-PESA, yanazunguka mabilioni kwa siku uje useme hapa wanaalipa kodi!!!

Hawa jamaa ni noma nawafahamu vizuri sana kwa ujanja ujanja ni wazuri sana hasa wakipata mtu anayehongeka kama hao waliochukua BB pasipokujua!
Hebu kama kuna wataalamu humu wa TRA watudadavulie mwaka jana hawa jamaa walilipa kodi kiasi gani??tukishindwa kupata jibu basi BB zinafanya kazi sehemu nyingi jamani!
Mwisho kbs Vodacom wamewahonga wabunge!!!!!!!!!!

Ndugu yangu mie nilikuwa napambana na member "zomba" ambaye ni pro-Voda, pamoja na yote, Voda wanayaona na wanayasikia madai ya kutolipa kodi na wameshindwa kujitokeza kifua mbele !
 
Back
Top Bottom