Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,272
- 2,031
Hivi karibuni Ile hukumu iliyokuwa inasubiriwa na watanzania pia BUNGE ya HALIMA na Wenzake 18 ilitolewa na moja ya Maamuzi ya MAHAKAMA ni Kuthibitisha kuwa Kamati Kuu ya CHADEMA ilifuata Taratibu zote pasipo SHAKA za Kuwafukuza Uanachama Halima na Wenzake 18.
Mbunge Kutokuwa na Chama kwa mujibu wa KATIBA anakuwa amepoteza Sifa ya kuwa Mbunge. Kukata Rufaa ni hatua nyingine lakini hufanywa wakati tayari amekwishavuliwa Ubunge wake.
Swali la Msingi
Kwanini SPIKA wa BUNGE hataki kuiheshimu Katiba aliyoapa kuilinda na kuitekeleza juu ya Wabunge wasio na Chama kuendelea kuwa Wabunge licha ya Hukumu ya Mahakama kuu iliyothibitisha kuwa SIO WANANCHAMA wa CHADEMA?
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app