Nimekufahamisha vizuri sana huko juu, tena kwa kukutolea mpaka mfano wa Serengeti na Kilimanjaro, lakini watu wengine si tunajuwa, shule mnabebwa na NECTA 83/17, hata uwe na PhD unakuwa huna uelewa.
Hakuna kitu chochote cha maana umetaja huko juu zombe unless huelewi nini kimeulizwa. Nimekuuliza very simple questions:
1. Rushwa ni nini
2. Promotion inaweza kuwa rushwa (ukajibu hapana); nikakuuliza kwanini - ukajibu rushwa ni rushwa na promotion ni promotion!!!
Sasa nitakuuliza tena, na ninakusuhi unipe majibu kama mtu aliyeenda shule.
1. Rushwa ni nini?
2. Ni kitu gani kinachozuia promotion kuwa rushwa? (jibu hili liwe katika context ya Vodacom na Blackberry kwa kamati ya bunge/spika)
Tafadhali toa majibu. Mambo ya serengeti na Kilimanjaro na 'targeted market ni majibu ya industial revolution era. Huwezi kusema 'rushwa ni rushwa na promotion ni promotion' na ukakaa chini ukiamini umejibu swali!