Spika Tulia hajawekwa na Wabunge bali CCM. Hakuna Mbunge wa kumtoa msidanganye Watu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,979
141,996
Bunge ni la CCM na Jina la Spika limeletwa Bungeni na Kamati Kuu ya CCM inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye naye pia ni sehemu ya Bunge kwa mujibu wa Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ya 1977.

Wabunge pambaneni na Ufisadi, msituletee maigizo.

Ramadan Kareem!
 
Hebu kwanza!

Wabunge wanataka ripoti ya CAG ijadiliwe. Spika anasema isubiri mpaka miezi sita. Wewe unamtetea spika, kisha unasema wabunge wapambane na ufisadi. Haujui unatetea nini, wala haujui unapinga nini.

Watu wasioweza kufikiri ndio asset kubwa ya CCM!

Tulia aliwekwa na Magufuli sio CCM, be careful usimpotoshe mwenzio akajisahau! Magufuli aliyemuweka hayupo!
 
Wabunge wanataka ripoti ya CAG ijadiliwe. Spika anasema isubiri mpaka miezi sita.
Tatizo wabunge wapo chini ya ccm tena wengi wao wamepewa tu ubunge sio wame chaguliwa. Hivi kweli wapo wabunge wakaenda kinyume na atakavyo boss wao?. Leo mara yangu ya kwanza kukubaliana na johnthebaptist
 
Hebu kwanza!

Wabunge wanataka ripoti ya CAG ijadiliwe. Spika anasema isubiri mpaka miezi sita. Wewe unamtetea spika, kisha unasema wabunge wapambane na ufisadi. Haujui unatetea nini, wala haujui unapinga nini.

Watu wasioweza kufikiri ndio asset kubwa ya CCM!

Sio utaratibu wa Spika Bali ni kanuni za Bunge
 
Bunge ni la CCM na Jina la Spika limeletwa bungeni na Kamati Kuu ya CCM inayoongozwa na mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa JMT naye pia ni sehemu ya Bunge kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977

Wabunge pambaneni na Ufisadi msituletee maigizo

Ramadan kareem!
Kanuni zinasemaje kuhusu taarifa ya Ukaguzi (CAG)?.

Pambaneni na kanuni kwanza kabla ya Spika.
 
Wewe unadhani anayekwamisha ni Spika Tulia?

Wabunge ni waoga 🤣🤣
 
Bunge ni la CCM na Jina la Spika limeletwa bungeni na Kamati Kuu ya CCM inayoongozwa na mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa JMT naye pia ni sehemu ya Bunge kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977

Wabunge pambaneni na Ufisadi msituletee maigizo

Ramadan kareem!
Mkuu asante kwa ukweli na uwazi.
 
Bunge ni la CCM na Jina la Spika limeletwa bungeni na Kamati Kuu ya CCM inayoongozwa na mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa JMT naye pia ni sehemu ya Bunge kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya 1977

Wabunge pambaneni na Ufisadi msituletee maigizo

Ramadan kareem!
Ripoti ya CAG haiwezi kujadiliwa na bunge la CCM sababu chama hiki huwa kinashiriki katika ufisadi mkubwa kwa ajili ya kuhonga na kugharamia chaguzi na matumizi mengine ya chama
 
Back
Top Bottom