Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Pouwa....Hakikisha humuachi Smiling Saint nayeye yuko jijini ArushaItifaki nazingatiwa jembe... nitabadili uelekeo..
Pouwa....Hakikisha humuachi Smiling Saint nayeye yuko jijini ArushaItifaki nazingatiwa jembe... nitabadili uelekeo..
Njoo Empire Sports Bar.....waungwana hukutana pale kila w/end......
Pouwa....Hakikisha humuachi Smiling Saint nayeye yuko jijini Arusha
Kwa ukaribu twende tembo club mbavu za mbuzi na castle baridi[/QUOTE]
mmmmmmmh.
ungesema mapema ningekuandalia dinner hapa kwangu, usa river.
Pin point pub maliza zote
Oooh sawa siunajua ziko nyingi sana siku hizi.....
Kwa Nicky...Pin point..Big L.. Empire Sports...Brazilian Lounge..Tembo Club...Big Y.(nahic si pa kwenda na mwana wa mtu..)... wakondya sana... ngoja nisake appetizer....
mh...kwa swagga hzo..hamna wanaa wa unga limitedi?
bila shaka tilly..nitakuwa nip6 panapo uzima na afya..karibu
wakosekane tena....mi naona kama mtu unataka kushakeshake....the blue AAA...pako poa sana....siku hizi....ukitaka tuimbe karaoke.....tukutane Lux..kijengeee.....
mkuu,unatumia kitu cha moto?a.k.a kitimoto?unataka cha mboga nikupeleke njiro nanenane,cha kukaanga tu nikupeleke kwa shirima au cha kuchoma twende pale kwa wahindi arusha institute?
wakosekane tena....mi naona kama mtu unataka kushakeshake....the blue AAA...pako poa sana....siku hizi....ukitaka tuimbe karaoke.....tukutane Lux..kijengeee.....