viwanja A town..

sehemu zenye nyama choma ya kufa mtu ni

cet garden ( kwa sifaa )

kwa tolu ( karibu na car wash ya sunda kama unaelekea sakina )

kwa mrombo
 
Viwanja vingi vimetulia sana sema hutakuwa na muda...lol
Tukionana tutajua

asenti jembe... jana nilimalizia jioni kwa mkandamizo wa mnafu wa kuku pale Florida..nyepesi nyepesi nimiambia Matongee na Bugaluu pamefulia... si kama ziku za nyuma.. nimeambiwa kuna pub maarufu kwa jina la Matak* Matak* Bar... nadhani jioni itaanzia hapo jomba...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom