Plot4Sale Viwanja na Makazi Arusha

Unique Flower

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
12,714
24,890
Wapendwa wateja tunavyo viwanja na heka maeneo yafuatayo.

Kikatiti , Maji ya Chai, King'ori .
Viwanja vya king'ori vinaanza kwa ml 4.5.
Kikatiti viwanja vinaanza ml 4. Maji ya chai ni ml 7 mpaka ml 16, . Ila tunaweza tafuta ya bajeti yako pia
Nipigie 0699227942 karibuni wote.
 
Hayo ndiyo maajabu ya arusha, sasa 10 kwa 10 unajenga nn hapo?
Sasa hapo sijui tukuulize wewe uliyetaka hicho kiwanja maana sisi tunamsikiliza mteja sio tunamlazimosha anunue . Maana ukija ofisini unaulizwa unataka kiwanja cha ukubwa gani 12 kwa 10 au 10 kwa 10. Tunakushauri uchukue cha 20 kwa 15 na ulipie kwa awamu kama hauna cash . Ila kama unayo unalipa cash . So kama hutaki ushauri ndio unauziwa
 
Maeneo ya kupanda ARUSHA National park karibu na Ngurudoto lodge, vinapatikana?
 
Sasa hapo sijui tukuulize wewe uliyetaka hicho kiwanja maana sisi tunamsikiliza mteja sio tunamlazimosha anunue . Maana ukija ofisini unaulizwa unataka kiwanja cha ukubwa gani 12 kwa 10 au 10 kwa 10. Tunakushauri uchukue cha 20 kwa 15 na ulipie kwa awamu kama hauna cash . Ila kama unayo unalipa cash . So kama hutaki ushauri ndio unauziwa
Thanks
 
Labda maji ya chai lakini nyuma ya nlima meru na maeneo ya ngurudoto sijui kama utapata?
Kweli atapata ngurdoto ila kwa ml 27 mpaka 35 ila kiwanja anaweza pata kwa ml 6 kikubwa tu kizuri. Maji ya chai kwa chini anaweza pata kiwanja kizuri kinakaribia nusu heka .
 
Sasa hapo sijui tukuulize wewe uliyetaka hicho kiwanja maana sisi tunamsikiliza mteja sio tunamlazimosha anunue . Maana ukija ofisini unaulizwa unataka kiwanja cha ukubwa gani 12 kwa 10 au 10 kwa 10. Tunakushauri uchukue cha 20 kwa 15 na ulipie kwa awamu kama hauna cash . Ila kama unayo unalipa cash . So kama hutaki ushauri ndio unauziwa
Mwenzio kashangaa hajataka!! Dalali upo desperate sana aisee 😃
 
Umejaribiwa nn sasa... hivi 10*10 huo uwanja unajenga nn
Mnahasira shida nini,?? Kwani mie ndio nimeleta hii mada ya kumi kwa kumi mbona mnaroho za shida hamtaki mtu apate raha jf ni nyie tu .
Mtu kaja una kiwanja cha 10 kwa 10 nikamjibu ndio .sasa shida yangu nimie au niyeye acheni kuleta nuksi na shida kwenye biashara za watu kama hutaki kununua acha kujaribu watu kama nyie mnahela na hamtaki kuniungisha madalali ni wengi. Nunueni kwingine sio mnajikusanya na vigroup vyenu kuwangia,wengine wasiuze. Umetaka kiasi hicho umeuliza umejibiwa .inanihusu nimimi
 
Dada punguza hasira huyo mtu hajaja kukuuliza kama una kiwanja cha 10*10 bali ameshangaa tu Arusha kubaki na utaratibu wa 10*10 mbona umeenda mbali sana? Stress zinaua dada.
 
Nyie ndio mnatafuta watu mmeona kuna mtu katangaza hivyoo stress nyie ndio mnazo sio mimi maana mnakereka nikipata watejs
 
Dada una stress na desperations za kufa mtu. Nani akuonee wivu anonymous aisee?
Nyie ni watu msionitakia mnajitakia sema id mnazo nyingi nyingi. Hamuishi kuzima watu. Ili wakate tamaa ya kufanya atakalo .
 
Nyie ndio mnatafuta watu mmeona kuna mtu katangaza hivyoo stress nyie ndio mnazo sio mimi maana mnakereka nikipata watejs
Nyie ndio mnaharibu miji.....Unapopima kiwanja 10× 10 huo si uchafu......? Huduma za kijamii unazipataje??? Miundp mbinu ya Barbara???

Wizara inapambana kuondoa upimaji wa 20× 20 nyie mnaongelea 10×,10
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom