viwanja A town..

Kwa Nicky...Pin point..Big L.. Empire Sports...Brazilian Lounge..Tembo Club...Big Y.(nahic si pa kwenda na mwana wa mtu..)... wakondya sana... ngoja nisake appetizer....
 
Pin point pub maliza zote

pale panajaa sana....mlango mmoja....ikitokea tafrani....labda uruke kwa pale balcony.....kwenda washroom mpaka ujikusanye pa kupita hakuna....parking yenyewe prob....aaaaah....
 
mh...kwa swagga hzo..hamna wanaa wa unga limitedi?
 
jamani hata MOUNT MERU HOTEL weekend panakuwa pazuri saana kama hutaki makelele.
 
mh...kwa swagga hzo..hamna wanaa wa unga limitedi?

wakosekane tena....mi naona kama mtu unataka kushakeshake....the blue AAA...pako poa sana....siku hizi....ukitaka tuimbe karaoke.....tukutane Lux..kijengeee.....
 
bila shaka tilly..nitakuwa nip6 panapo uzima na afya..karibu

mkuu,unatumia kitu cha moto?a.k.a kitimoto?unataka cha mboga nikupeleke njiro nanenane,cha kukaanga tu nikupeleke kwa shirima au cha kuchoma twende pale kwa wahindi arusha institute?
 
wakosekane tena....mi naona kama mtu unataka kushakeshake....the blue AAA...pako poa sana....siku hizi....ukitaka tuimbe karaoke.....tukutane Lux..kijengeee.....

mpendwa baada ya soka nimepga hapa pin point.. sura zote ngumu..bora nfyonze kiulabu changu..
 
mkuu,unatumia kitu cha moto?a.k.a kitimoto?unataka cha mboga nikupeleke njiro nanenane,cha kukaanga tu nikupeleke kwa shirima au cha kuchoma twende pale kwa wahindi arusha institute?

mjomba.. mbuzi mkubwa ahusika kwa sana..tuko pamoko.
 
wakosekane tena....mi naona kama mtu unataka kushakeshake....the blue AAA...pako poa sana....siku hizi....ukitaka tuimbe karaoke.....tukutane Lux..kijengeee.....

lux ndio ipi hiyo ?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom