viwanja A town..

hiyo mawingu mpya iko wapi...maana karume day nakuja A town

bebii usijali....mimi nitakuonyesha ilipo ukishafika.....
kwa wasiojua ilipo ni pale maeneo ya NBC ya Uhuru road....kwenye kona kona fulani huko....

ile ilikuwa poa....kumbe bebii ulikuwepo eeh.....hivi yupo wapi Mr C siku hizi.....?

rr C yuko Arusha huko huko...mwaka jana nilikuwa naye..bebii nilikuwepo na huwa nakuja sana A town

bebii usijali....mimi nitakuonyesha ilipo ukishafika.....
kwa wasiojua ilipo ni pale maeneo ya NBC ya Uhuru road....kwenye kona kona fulani huko....

  • pouwa..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom