Ni kina nani hawa watoto wa mjini (Born town), wanajihusisha na nini?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,215
56,855
Mara kadhaa nimekuwa nikilisikia hili "watoto wa mjini" ama "Born town".
Jambo ambalo limenifanya nitake kujua kuhusu wao ni kina nani na wanajishughulisha na nini...??

Fikra zangu kuhusu wao..
Hii ni nadharia au fikra zangu kuhusu wao.. kama jina lao lilivyo watoto wa mjini, nahisi mambo yao yamekaa kijanjajanja,deals za magendo,umafia na Kila aina ya ukiritimba!.

Nifikiriavyo kuhusu wao ni kuwa biashara zote halamu wao ndio wamezishika!,watu fulani wenye maisha ya hali ya juu,wanasukuma ndinga Kali na nyumba zenye marumaru huku wakiwa ni wataalum wakula bata!.
Ukiiga ulaji wao wa Bata lazima uchanike msamba!..
Maana pesa zao ni kama chemchem isiyokata na hakuna njia utamkwamsisha labda wewe ndio utakwama!.

Ukimsema kwenye vyombo vya Sheria ni kama wewe ndio umejisema kuwa unafatilia vitu vyake,hivyo upo hatarini kupotezwa!.

Deals zao ni ngada,utakatishaji fedha,wanatumia pesa zao kuiba biashara ambayo wanaona inabingo na ukiwasema kuwa wameiba biashara yako wewe ndio utasombwa kuwa mwizi!.
Wao ndio wafanikishaji wa mambo kadhaa wanayotaka yapite kwa manufaa yao!.. nawaza kwa herufi kubwa!.

Wewe unafahamu nini kuhusu watoto wa mjini a.k.a Born town...???
 
Wengi wao wanafanya biashara zote haramu!, na wana connections kubwa na viongozi na Taasisi nyingi za serikali, system, Tra, Polisi, ccm, Vyombo vya sheria, wanasheria, Polisi...nk.
Ni maana nzima ya umafia Sasa...? Kumbe sipo mbali navyofikiria kuhusu wao!
 
Mtoto wa mjini ni yule aliyezaliwa hospitali ya rufaa/ mkoa, mtoto wa mjini lazima uwe na nyumba ya urithi mjini kati,mtoto wa mjini hakuna jipya ambalo hujawahi ona wala kusikia. Tuelewane mjini ni dar pekee, mikoani sio mjini
 
Mtoto wa mjini ni yule aliyezaliwa hospitali ya rufaa/ mkoa, mtoto wa mjini lazima uwe na nyumba ya urithi mjini kati,mtoto wa mjini hakuna jipya ambalo hujawahi ona wala kusikia. Tuelewane mjini ni dar pekee, mikoani sio mjini
Hii ni mtoto wa mjini ya herufi kubwa mkuu
 
Back
Top Bottom