Wandugu ChingaMzalendo na Ngida1,
Mimi pia nipo tayari kujiunga na hilo jeshi na kila anaetaka kutuunga mkono basi aorodheshe jina lake hapa chini:
[1] Nd. ChingaMzalendo,
[2] Nd. Ngida Wa Ngida (Ngida1),
[3] Nd. Lampart,
[4] .............
[5] .............
.
.
.
.
.
.
Tukisha kutimia watu 10, basi tutahamia kwenye pori lolote lile la Bara au tutahamia Jozani kule Visiwani walipokuwa wakijificha wapiganaji wa Mapinduzi ya Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya 1964.
N.B.
Nd. Bluray, tafadhali usituite kuwa sisi ni wasaliti.
Sisi ni wagombozi!!!
Before u win a war, kila mgombozi ni msaliti.
Anaglieni na nyie bbada ya kutoka huko porini msije kuwa mafisadi wakubwa kuliko hao mnaowanyoohsea vidole