Vijana Kumi wenye Uwezo wa Kuiokoa Tanzania

1. John Mashaka
2. January Makamba
3. Hildebrand Shayo
4. Mwanakijiji
5. John Mnyika
7. Zitto Kabwe
8. Mohammed Dewji
9. Nelson Kaminyoge
10..........

Ikishindikana hawa vijana 2015, ndugu zanguni, mie naingia porini kuanzisha jeshi langu kuikomboa tanzania. Nimechoka na UFISADI. Hii tu ndo dawa iliyobaki kuliokoa Tanzania. Kikwete na kundi lake limetuchosha na ufisadi
Karibia wote uliowataja hapo ni wahuni na vibaka!
 
Back
Top Bottom