Vijana Kumi wenye Uwezo wa Kuiokoa Tanzania

Wandugu ChingaMzalendo na Ngida1,
Mimi pia nipo tayari kujiunga na hilo jeshi na kila anaetaka kutuunga mkono basi aorodheshe jina lake hapa chini:

[1] Nd. ChingaMzalendo,
[2] Nd. Ngida Wa Ngida (Ngida1),
[3] Nd. Lampart,
[4] .............
[5] .............
.
.
.
.
.
.
Tukisha kutimia watu 10, basi tutahamia kwenye pori lolote lile la Bara au tutahamia Jozani kule Visiwani walipokuwa wakijificha wapiganaji wa Mapinduzi ya Zanzibar kabla ya Mapinduzi ya 1964.

N.B.
Nd. Bluray, tafadhali usituite kuwa sisi ni wasaliti.
Sisi ni wagombozi!!!
Before u win a war, kila mgombozi ni msaliti.

Anaglieni na nyie bbada ya kutoka huko porini msije kuwa mafisadi wakubwa kuliko hao mnaowanyoohsea vidole
 
wafuatao ni vijana ninao wajua wenye uwezo wakuiongoza Tanzania kwa mafanikio makubwa kisiasa na kiuchumi.
1...Nelson Kaminyoge....yuko Mambo ya Ndani
2...Shikunzi John, anajitegemea kikazi.
3...Samson Mwasakafyuka...huyu yuko Wizara ya Maliasili na Utalii
5...Lenjore Lekamoi.......yupo KPMG
6...Joshua Mtae...Mchumi huyu yupo Akiba Com. bsnk
7...Gwamaka Nsekela...yuko London
8...Bahati Tweve...yuko NCCR Mageuzi
9...Zito Kabwe ...CHADEMA
10..Mjasiriamali Shupavu...yumo humu JF

Si unitaje tu ..kwani unaogopa nini !!!! hahaaaa!!! Mkuu endeleeni kutajana ila tutawachuja baadae ...!
 
Masha.......
sikila kijana anaweza kuwa kiongozi, Kama unamaanisha huyu Masha waziri wa mambo ya ndani, hafai, hafai na ananuka Rushwa chafu, hana uzalendo hata kidogo, na ujana wake wote amekua akishirikiana na wanasheria wenzake kuiponza nnchi yake kwa kushirikiana na wasanii Wenzake pale IMMA, hawana uchungu hawa, mmoja Jaji, mwingine Balozi na yeye Waziri, UFISADI mtupu.
 
sI MMESEMA VIJANA
 
hizo habari mpya, sasa kama JK, NA system yake ingekua active ingewaibua hawa jamaa , kisha anawapa ubunge halafu uwaziri, nitashangaa kama Shikunzi John Msanganzila atakufa bila kuiongoza hii nnchi.

Ama kweli watanzania mnaota ndoto za mchana kweupeeeee????

Tutazidi kuwa masikini mpaka siku tutakapojua tatizo letu ni nini???

Binafsi siamini eti matatizo ya wanyonge wa tanzania yatatatuliwa na maoppotunist kama kina Zitto na wengine mnaowatajataja!!

Naona mnaamini kwenye falsafa za ki extrovert (matatizo yako yanaletwa na watu wengine na hao ndio wenye uwezi wa kuyatatua).

Ngoja tuendelee kuishi kwa matumaini hivyo hivyo, huku tukifa mmoja mmoja na taifa lote kuangamia!!
 
NI KWAMBA , LAZIMA KUWE NA watunga sera wa kitaifa na wasimamizi wakuu wa sera hizo, siswala la individualism katika micro economy, wanasiasa lazima watumike kama watunga sera wakuu.
 
Masha amethibitika kuwa ni mtu baazazi katika ukuaji wa Tanzania yetu, ameilawiti nchi.....ananiudhi sana mimi.

Mkuu taratibu aisee, yes ana matatizo lakini yameshafikia mambo ya kulawitiana tena!! Toba!!
 
Kumbe kuandika na kutoa maoni kama Mwanakijiji nacho ni kigezo cha kuwa kiongozi bora ? Mbona mkapa hakuwa hivyo alikuwa mwandishi mzuri tu huko daily news weka vigezo vingine wengi wakiingia kwenye system wanachanganyikiwa
 
shukrani kwa kuliona hilo, ila hapo kwa kumpongeza mkapa nina mashaka kidogo... ulitaka kutuambia nini?
 
Nimetolea mfano wa mkapa kuwa mwandishi mzuri mpaka mhariri kule daily news gazeti la serikali mpaka akaja kuukwaa uraisi lakini aliyoyaacha kila mtu anayajua -- shift that to mwanakijiji
 
Mkuu taratibu aisee, yes ana matatizo lakini yameshafikia mambo ya kulawitiana tena!! Toba!!
kulawiti katika muktadha huu si mambo hayo ya kibazazi mitaani, hapa ni kuharibu na kuifedhehesha nnchi yake
 
Hawo niliowapaka rangi hiyo kweli ni wapiganaji wakufa mtu na juzijuzi tu Kiongozi Shikunzi ametoka kufunga pingu za maisha
Nimewahi kuwa na mazungumzo na Nelson ila hawezi kunikumbuka na pia nimewahi kuuona utendaji wake na ndoto juu ya Taifa letu. Ninamkubali kijana yule.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom