Video: Angalia jinsi huyu askari alivyokosa utu

Mkuu hapa issue sio kwamba tunalaumu kwa Askari kucwachukulia hatua hao wafanya biashara bali lawama ni kwa aina ya hatua aliyoichukua ya kupiga mateke hayo matunda,unaona hivyo ni sahihi? hakukua na njia nyingine ya kiutu zaidi ya hiyo?
Utawaondoa leo kiutu, kesho wanarudi tena. Ni bora alivyofanya hivyo kuliko angewachapa hao watu. Watu waache ubishi, kama kuna katazo kwanini wafanye hapo.

Utu uliotumia ni katazo lenyewe, wao wangekua na utu wasingeenda kufanya biashara sehemu iliyokatazwa. Mwisho wa siku wakiachwa hapo alafu gari ikawaparamia utashangaa lawama zinaenda kwa serikali.
 
Back
Top Bottom