Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,140
- 14,165
BURUNDI ambapo Mwingulu alisema tuhamie.
Utawaondoa leo kiutu, kesho wanarudi tena. Ni bora alivyofanya hivyo kuliko angewachapa hao watu. Watu waache ubishi, kama kuna katazo kwanini wafanye hapo.Mkuu hapa issue sio kwamba tunalaumu kwa Askari kucwachukulia hatua hao wafanya biashara bali lawama ni kwa aina ya hatua aliyoichukua ya kupiga mateke hayo matunda,unaona hivyo ni sahihi? hakukua na njia nyingine ya kiutu zaidi ya hiyo?