IGP wamulike Askari Trafiki wa Mafinga pale changarawe bondeni na Saohill check point

jojipoji koromije

JF-Expert Member
Mar 22, 2017
991
1,412
Katika kuendesha gari kwangu nchi hii sijawahi ona askari waliokosa weledi kama askari wa maeneo haya ya Mufindi Sao Hill check point barabara ya Dar-Mbeya. Wanalazimisha makosa sana au wameagizwa kila gari lazima waipige fine?

Wanataka kila gari itembee nyuma ya roli linalopanda mlima mkali na speed 10, wewe una gari nyepesi ukae nyuma yake tu muda wote mpaka umalize mlima kwasababu tu uki overtake hata hakuna gari linalokuja mbele yako tayari unapigwa fine.

Kwahiyo mko tayari sisi madereva na abiria tufe ikitokea lori lililopo mbele limefeli break ili msitulipishe fine? Tufe ili kukwepa fine?

Naombeni Jeshi la polisi Makao Makuu wadhibitini hawa askari wanaojificha bondeni kwenye mteremko wa changarawe; hasa huyu askari mwenye mustachi kama wa mkoloni Carl Peter’s wa Ujerumani, na hawa wanokaa Checkpoint ya Msitu wa Sao Hill, wamekosa ubinadamu kabisa zaidi ya kushinikiza fine na rushwa.

Ikibidi kamanda IGP hawa askari wako wahamishie njia za vumbi huko Kambi Katoto, Mtego wa Simba, Namanyere na Nanjilinji wakajifunze jinsi ya kuwa na utu na ubinadamu, wamejaa roho mbaya sana hawa askari.

IGP naomba ulifanyie kazi hili. Watafutie vituo hawa pembezoni mwa nchi, wakirudi barabara za lami tena labda watakuwa wamejifunza utu na ustaarabu katika kutimiza majukumu yao ambalo ndio jambo kubwa.

Mama yetu mpendwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan anahubiri kila siku ila wao wameshindwa kuendana na maono ya Mama.

Nawasilisha.
 
Katika kuendesha gari kwangu Nchi hii sijawahi ona askari waliokosa weledi kama askari wa maeneo haya ya mufindi Sao hill check point barabara ya Dar Mbeya. Wanalazimisha makosa sana! Au wameagizwa kila gari lazima waipige fine?Wanataka kila gari itembee nyuma ya roli linalopanda mlima mkali na speed 10, wewe una gari nyepesi ukae nyuma yake tu muda wote mpaka umalize mlima kwasababu tu uki overtake hata Hakuna gari linalokuja mbele yako tayari unapigwa fine: kwahiyo mko tayari sisi madereva na abiria tufe ikitokea lori lililopo mbele limefeli break ili msitulipishe fine!!!
Kuna mtu aliandika humu kwamba katika kada zilizokosa watu wenye akili ya kujitegemea ni askari, kiukweli kukaa nyuma ya malori ni risk sana SOMA HAPA

Ila jambo la kushangaza ni pale unakutana na askari haohao wanakushambulia kwanini una ongozana na lorry mlimani
 
Katika kuendesha gari kwangu nchi hii sijawahi ona askari waliokosa weledi kama askari wa maeneo haya ya Mufindi Sao Hill check point barabara ya Dar-Mbeya. Wanalazimisha makosa sana au wameagizwa kila gari lazima waipige fine?

Wanataka kila gari itembee nyuma ya roli linalopanda mlima mkali na speed 10, wewe una gari nyepesi ukae nyuma yake tu muda wote mpaka umalize mlima kwasababu tu uki overtake hata hakuna gari linalokuja mbele yako tayari unapigwa fine.

Kwahiyo mko tayari sisi madereva na abiria tufe ikitokea lori lililopo mbele limefeli break ili msitulipishe fine? Tufe ili kukwepa fine?

Naombeni Jeshi la polisi Makao Makuu wadhibitini hawa askari wanaojificha bondeni kwenye mteremko wa changarawe; hasa huyu askari mwenye mustachi kama wa mkoloni Carl Peter’s wa Ujerumani, na hawa wanokaa Checkpoint ya Msitu wa Sao Hill, wamekosa ubinadamu kabisa zaidi ya kushinikiza fine na rushwa.

Ikibidi kamanda IGP hawa askari wako wahamishie njia za vumbi huko Kambi Katoto, Mtego wa Simba, Namanyere na Nanjilinji wakajifunze jinsi ya kuwa na utu na ubinadamu, wamejaa roho mbaya sana hawa askari.

IGP naomba ulifanyie kazi hili. Watafutie vituo hawa pembezoni mwa nchi, wakirudi barabara za lami tena labda watakuwa wamejifunza utu na ustaarabu katika kutimiza majukumu yao ambalo ndio jambo kubwa.

Mama yetu mpendwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan anahubiri kila siku ila wao wameshindwa kuendana na maono ya Mama.

Nawasilisha.
Wanakeraaa!!!
 
Hayo maeneo uliyoyataja mpaka Makambako wanaangalia mistari badala ya wao kuzuia ajali wao ndio chanzo kikubwa cha ajali wanatulazimisha kukaa nyuma ya Roli kitu ambacho mara nyingi mimi huwa nabishana nao unakuta truck ipo moja mbele inademadema tuu na haieleweki wao wapo juu pale wanakusubiri ulipite harafu wakwambie hauangalii mistari mimi nawaambia bara bara inaongea kwa sisi madereva siwezi kusubiri mzigo upo mbrle yangu ninyi angalieni nini mnafanya wakiamua wananipiga fine wakiamua muda mwingine wananiruhusu bila hata ya kutoa chochote...
 
Hata pale mlima Kitonga wanajificha kuangalia kama uta overtake, mlima ule ni mrefu na kona kali, pia una foleni za malori makubwa yanayotembea si zaid ya 15km/h.

Wanataka ukae nyuma ya lori lenye mzigo wa tani nyingi, kitu ambacho ni hatari sana. Kuna siku niliwakazia sana niliamua kutowapa lesen waandike pja sikuwapa rushwa... wakaishia kuandikia gari na kutaka nilipe pale pale..
 
Katika kuendesha gari kwangu nchi hii sijawahi ona askari waliokosa weledi kama askari wa maeneo haya ya Mufindi Sao Hill check point barabara ya Dar-Mbeya. Wanalazimisha makosa sana au wameagizwa kila gari lazima waipige fine?

Wanataka kila gari itembee nyuma ya roli linalopanda mlima mkali na speed 10, wewe una gari nyepesi ukae nyuma yake tu muda wote mpaka umalize mlima kwasababu tu uki overtake hata hakuna gari linalokuja mbele yako tayari unapigwa fine.

Kwahiyo mko tayari sisi madereva na abiria tufe ikitokea lori lililopo mbele limefeli break ili msitulipishe fine? Tufe ili kukwepa fine?

Naombeni Jeshi la polisi Makao Makuu wadhibitini hawa askari wanaojificha bondeni kwenye mteremko wa changarawe; hasa huyu askari mwenye mustachi kama wa mkoloni Carl Peter’s wa Ujerumani, na hawa wanokaa Checkpoint ya Msitu wa Sao Hill, wamekosa ubinadamu kabisa zaidi ya kushinikiza fine na rushwa.

Ikibidi kamanda IGP hawa askari wako wahamishie njia za vumbi huko Kambi Katoto, Mtego wa Simba, Namanyere na Nanjilinji wakajifunze jinsi ya kuwa na utu na ubinadamu, wamejaa roho mbaya sana hawa askari.

IGP naomba ulifanyie kazi hili. Watafutie vituo hawa pembezoni mwa nchi, wakirudi barabara za lami tena labda watakuwa wamejifunza utu na ustaarabu katika kutimiza majukumu yao ambalo ndio jambo kubwa.

Mama yetu mpendwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan anahubiri kila siku ila wao wameshindwa kuendana na maono ya Mama.

Nawasilisha.
hicho kipande ni kigumu sana kudrive. yaani kuanzia iringa hadi ufike makambako kuna trafic mamia
 
😆😆😆😆
 
Msitari unaogawanya barabara mbona eneo hilo hauruhusu anayepanda aovateki! Kama vipi ufuteni huo msitari.
 
Hizi rushwa Tanzania tunaziendekeza.

Bila kuwekwa sheria na udhibiti imara haitakwisha na itatupeleka pabaya sana.

Kila askari Tanzania ana lawama ya rushwa, na siku hizi betting imewaingia huko jeshi la polisi, wote wamekuwa mateja wa kamari na pombe juu, tutakoma ubishi.
 
Katika kuendesha gari kwangu nchi hii sijawahi ona askari waliokosa weledi kama askari wa maeneo haya ya Mufindi Sao Hill check point barabara ya Dar-Mbeya. Wanalazimisha makosa sana au wameagizwa kila gari lazima waipige fine?

Wanataka kila gari itembee nyuma ya roli linalopanda mlima mkali na speed 10, wewe una gari nyepesi ukae nyuma yake tu muda wote mpaka umalize mlima kwasababu tu uki overtake hata hakuna gari linalokuja mbele yako tayari unapigwa fine.

Kwahiyo mko tayari sisi madereva na abiria tufe ikitokea lori lililopo mbele limefeli break ili msitulipishe fine? Tufe ili kukwepa fine?

Naombeni Jeshi la polisi Makao Makuu wadhibitini hawa askari wanaojificha bondeni kwenye mteremko wa changarawe; hasa huyu askari mwenye mustachi kama wa mkoloni Carl Peter’s wa Ujerumani, na hawa wanokaa Checkpoint ya Msitu wa Sao Hill, wamekosa ubinadamu kabisa zaidi ya kushinikiza fine na rushwa.

Ikibidi kamanda IGP hawa askari wako wahamishie njia za vumbi huko Kambi Katoto, Mtego wa Simba, Namanyere na Nanjilinji wakajifunze jinsi ya kuwa na utu na ubinadamu, wamejaa roho mbaya sana hawa askari.

IGP naomba ulifanyie kazi hili. Watafutie vituo hawa pembezoni mwa nchi, wakirudi barabara za lami tena labda watakuwa wamejifunza utu na ustaarabu katika kutimiza majukumu yao ambalo ndio jambo kubwa.

Mama yetu mpendwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan anahubiri kila siku ila wao wameshindwa kuendana na maono ya Mama.

Nawasilisha.
Asante kwa taarifa. Na kwa taarifa yako hii, kesho nitawapandisha cheo hao traffic police kwa kazi nzuri na iliyotukuka.

Nawaasa matraffiki police wote nchini waige mfano wao.

Serikali inahitaji pesa nyingi kujengea mabangaluu ya kufa mtu, marais wastaafu- walio hai au wafu, wake zao, makamu wa rais, waziri mkuu na naibu wake.

Kama unona trafiki polisi ni kero jenga barabara yako
 
Msitari unaogawanya barabara mbona eneo hilo hauruhusu anayepanda aovateki! Kama vipi ufuteni huo msitari.
Mstari mmoja unaogawanya barabara haumkatazi (prohibit) dereva kuovateki bali unamzuia (restrict) dereva kwa kipindi fulani tu. Kwa hiyo ukipigwa mkono hapa na ukalipa 30k ni ujinga wako tu

Mistari miwili inayogawanya barabara ndiyo inayokataza (prohibit) dereva kuovateki wakati wote. Hapa ukipigwa mkono lazima 30k ikutoke.
 
Hapo ipo mistari miwili, unaopandisha haujakatwakatwa huku wa kushuka umekatwakatwa, hapo zimewahi kutokea ajali nyingi tu.
 
Katika kuendesha gari kwangu nchi hii sijawahi ona askari waliokosa weledi kama askari wa maeneo haya ya Mufindi Sao Hill check point barabara ya Dar-Mbeya. Wanalazimisha makosa sana au wameagizwa kila gari lazima waipige fine?

Wanataka kila gari itembee nyuma ya roli linalopanda mlima mkali na speed 10, wewe una gari nyepesi ukae nyuma yake tu muda wote mpaka umalize mlima kwasababu tu uki overtake hata hakuna gari linalokuja mbele yako tayari unapigwa fine.

Kwahiyo mko tayari sisi madereva na abiria tufe ikitokea lori lililopo mbele limefeli break ili msitulipishe fine? Tufe ili kukwepa fine?

Naombeni Jeshi la polisi Makao Makuu wadhibitini hawa askari wanaojificha bondeni kwenye mteremko wa changarawe; hasa huyu askari mwenye mustachi kama wa mkoloni Carl Peter’s wa Ujerumani, na hawa wanokaa Checkpoint ya Msitu wa Sao Hill, wamekosa ubinadamu kabisa zaidi ya kushinikiza fine na rushwa.

Ikibidi kamanda IGP hawa askari wako wahamishie njia za vumbi huko Kambi Katoto, Mtego wa Simba, Namanyere na Nanjilinji wakajifunze jinsi ya kuwa na utu na ubinadamu, wamejaa roho mbaya sana hawa askari.

IGP naomba ulifanyie kazi hili. Watafutie vituo hawa pembezoni mwa nchi, wakirudi barabara za lami tena labda watakuwa wamejifunza utu na ustaarabu katika kutimiza majukumu yao ambalo ndio jambo kubwa.

Mama yetu mpendwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan anahubiri kila siku ila wao wameshindwa kuendana na maono ya Mama.

Nawasilisha.
Igp mwenyewe ni wa kumulikwa!

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Mstari mmoja unaogawanya barabara haumkatazi (prohibit) dereva kuovateki bali unamzuia (restrict) dereva kwa kipindi fulani tu. Kwa hiyo ukipigwa mkono hapa na ukalipa 30k ni ujinga wako tu

Mistari miwili inayogawanya barabara ndiyo inayokataza (prohibit) dereva kuovateki wakati wote. Hapa ukipigwa mkono lazima 30k ikutoke.

Hawa Trafki wa Mafinga hawazingatii hayo!! Wao iwe line 1 or 2 lazima wakuwashe tu!! Jamaa ni mabedui sana!! I wish IGP awahamishie hata huko Uvinza na Kakonko wakapigwe vumbi kwanza akili zao zikae sawa.
 
Hata pale mlima Kitonga wanajificha kuangalia kama uta overtake, mlima ule ni mrefu na kona kali, pia una foleni za malori makubwa yanayotembea si zaid ya 15km/h.

Wanataka ukae nyuma ya lori lenye mzigo wa tani nyingi, kitu ambacho ni hatari sana. Kuna siku niliwakazia sana niliamua kutowapa lesen waandike pja sikuwapa rushwa... wakaishia kuandikia gari na kutaka nilipe pale pale..

Hatari sana!! Imagine semi loader imepakia Dumper kubwa zile za migodni inapanda kitonga speed 10KM/hr uko nyuma yake! Maana muda wote lazima uwe na hofu!! Unahisi hii ngoma ikizima ghafra na kurudi nyuma itakuwaje? Ukizingatia lori zetu hizi karibia zote ni used!! Sasa pata kaupenyo u overtake ili uokoe nafsi yako! Unakutana na Afande hapo juu alishakuchungulia na anza kuhoji eti why ume overtake? Hivi hawa jamaa wana Akili kweli? Unajua kuna vitu sometimes Hekima na Busara lazime vitangulizwe mbele ya maamuzi yoyote. Afande atakomaa hapo either akupige fine Au umpe rushwa. Ridiculous!! IGP tafadhali aangalie hawa askari wake. Ni kero sana.
 
Na ndio maana halisi ya upatacho ni lazima Tu ugawane na wenzako,,Huwezi Kula peke yako kamwe Iwe Kwa Wema au Kwa ubaya,,Iwe kihalali au kihalifu,,Iwe Kwa HAKI ambayo ni ngumu Kwa walimwengu kutenda au kidhuluma ambayo ndio inatendwa na kufanywa Kwa uadilifu na walimwengu kila mmoja Kwa Nyanja yake tutaenda hili hata wewe unaweza kuta unalalamika lakini si msafii,,hiyo ndio maana halisi ya malipo ni hapahapa duniani,,jisafishe Kwanza wewe,,ndio Useme uchafu wa matrafki!!###TrafkiBabuFyeeHapa###📴📴📴
 
Na ndio maana halisi ya upatacho ni lazima Tu ugawane na wenzako,,Huwezi Kula peke yako kamwe Iwe Kwa Wema au Kwa ubaya,,Iwe kihalali au kihalifu,,Iwe Kwa HAKI ambayo ni ngumu Kwa walimwengu kutenda au kidhuluma ambayo ndio inatendwa na kufanywa Kwa uadilifu na walimwengu kila mmoja Kwa Nyanja yake tutaenda hili hata wewe unaweza kuta unalalamika lakini si msafii,,hiyo ndio maana halisi ya malipo ni hapahapa duniani,,jisafishe Kwanza wewe,,ndio Useme uchafu wa matrafki!!###TrafkiBabuFyeeHapa###

Babu comments zako inaonyesha na wewe ni traffic! Unatetea kabisa hichi haramu wanachotufanyia eti kwasababu mnagawana na wenzenu!! Daah!! IGP ana kazi sana, hata RPC vijano wake wanzadiki wanamletea shida tupu!! Namjua RPC Iringa nikamanda safi sana shida ni hawa wasaka tonge!!
#IGP Wambura msikie askari wako huyu kajibia wenzake!!# peleka hawa vijana njia za vumbi!! Au vikosi vya mbwa na malindo ya ya bank#
 
Wema unafanya haramu mangapi??au Kwa kuwa hujamulikwa na kugundulika,,wewe mwenyewe ni traffic kwenye nafasi yako sidhani kama Huna dhulma Kwa watu wako unawasimamia,,tena nyie ndio mnakuaga na roho mbaya kweli mnaojifanyaga mnapenda kuhukumu na kuona wenzenu wayafanyayo ni ya hatia sanaa
 
Back
Top Bottom