mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Hapa tatizo wivu unatawala si na nyie mwambieni wasira? Mi kesho namuomba maji marefu anunue na sie tujidai hapa Koogwe
Je!! Hicho ndicho kipaumbele chetu????????
Unaelewa nini na LCD TV...oops sorry, bado hujavua magamba!Ni flat screen au zile zilizopitwa na wakati?
Unaelewa nini na LCD TV...oops sorry, bado hujavua magamba!
Acha uvivu pitia post zote sijui hesabu gani unaziongelea.
tupe source mkuu vinginevyo unajishushia heshima yakowacha uongo hizo bei za sony ndio kanunua vicent nyerere, bei yake bongo milioni 1.2 hawezi kununua, amenunua kachala za china sony sh300,000 kila runinga moja.
Yeye kama mbunge amefanya utafiti yakinifu na kugundua hilo ni mojawapo ya matatizo yanayowajkabili wafanyabiasha.Matatizo yanatofautiana kutoka jamii moja mbaka nyingine.Hivi tatizo la wananchi wa Musoma Mjini ni runinga.
tupe source mkuu vinginevyo unajishushia heshima yako
Hivi tatizo la wananchi wa Musoma Mjini ni runinga.
hayo ndio maendeleo wala sio maneno tu. tunataka wabunge wenye vision kama huyu maana anaona mbali sana
[/QUOTE]kwa sisi watu wa sokoni hajakosea ametekeleza ahadi yake wakati anaomba kura,swala ka mitaro limejitokeza sasa hivi maana uongozi ulopita ndio walisababisha kujenda soko bila kuweka mitaro ila hilo pia kesha ahidi kulifanyia kazi,tuzidi kuwa na subira.
[/SIZE][/FONT]
kweli mkuu wewe ni mtoto unajidanganya kwa kuwa hujui kuna lg flat ya laki saba na nusu pale kariakoo kwa sokoni zilihitajika durable kwa kuwa watumiaji ni wengi sio kama hizo za kichina uliyonunua weweRuninga 10 milioni 9? Kweli wanasiasa mmezidi sasa,tv zenyewe za china halafu mwatudaganya kitoto hv?
Hamuwezi kuchukua nchi 2015,labda kilimanjaro ijitangazie uhuru wake na kuitwa nchi,chadema ni chama cha wachaga.Over