Vicent Nyerere (CHADEMA) amwaga luninga sokoni

Hapa tatizo wivu unatawala si na nyie mwambieni wasira? Mi kesho namuomba maji marefu anunue na sie tujidai hapa Koogwe
 
Je!! Hicho ndicho kipaumbele chetu????????

Kwa taarifa yako habari ni kipaumbele sana kwa kuwa humfanya mtu aelewe kinachoendelea na kumwezesha kufanya maamuzi sahihi. Habari ni haki ya msingi ya kila mtu ikiwa ni pamoja na wewe. OK?
 
wacha uongo hizo bei za sony ndio kanunua vicent nyerere, bei yake bongo milioni 1.2 hawezi kununua, amenunua kachala za china sony sh300,000 kila runinga moja.
tupe source mkuu vinginevyo unajishushia heshima yako
 
Hivi tatizo la wananchi wa Musoma Mjini ni runinga.
Yeye kama mbunge amefanya utafiti yakinifu na kugundua hilo ni mojawapo ya matatizo yanayowajkabili wafanyabiasha.Matatizo yanatofautiana kutoka jamii moja mbaka nyingine.
 
Mbona Mwigulu anagawa ngono Ritz dada angua unakuwaga kimya?Maji marefu anagawa hirizi hamsemi'acheni Ukada
 
Kaz nzuri sana, ila nahofia hao wez waliotajwa aya ya mwisho watazkomba izo fideo. Ulinz uimarshwe.
 
hayo ndio maendeleo wala sio maneno tu. tunataka wabunge wenye vision kama huyu maana anaona mbali sana


Tunakuwa clouded na ushabiki zaidi...tumependa kupita kiasi...

Tujiulize... hilo ndilo lilikuwa kipaumbele cha wapiga kura wake pale sokoni???

wanasema wanashida ya mitaro ya maji machafu n.k

Nafikiri angalau angenunua kompyuta akapeleka kwenye shule.... ingekuwa na tija zaidi..

Kwa hili Vicent umekosea.
 
kwa sisi watu wa sokoni hajakosea ametekeleza ahadi yake wakati anaomba kura,swala ka mitaro limejitokeza sasa hivi maana uongozi ulopita ndio walisababisha kujenda soko bila kuweka mitaro ila hilo pia kesha ahidi kulifanyia kazi,tuzidi kuwa na subira.
[/SIZE][/FONT][/QUOTE]
 
Angalau wewe umetufumbua macho,maana humu walitusumbua
kwa sisi watu wa sokoni hajakosea ametekeleza ahadi yake wakati anaomba kura,swala ka mitaro limejitokeza sasa hivi maana uongozi ulopita ndio walisababisha kujenda soko bila kuweka mitaro ila hilo pia kesha ahidi kulifanyia kazi,tuzidi kuwa na subira.
[/SIZE][/FONT]
[/QUOTE]
 
Runinga 10 milioni 9? Kweli wanasiasa mmezidi sasa,tv zenyewe za china halafu mwatudaganya kitoto hv?
kweli mkuu wewe ni mtoto unajidanganya kwa kuwa hujui kuna lg flat ya laki saba na nusu pale kariakoo kwa sokoni zilihitajika durable kwa kuwa watumiaji ni wengi sio kama hizo za kichina uliyonunua wewe
 
Hamuwezi kuchukua nchi 2015,labda kilimanjaro ijitangazie uhuru wake na kuitwa nchi,chadema ni chama cha wachaga.Over

Ndoto za mchana! Najua huamini! Utaamini siku moja kizito kitakapo ruka kutoka kwenye sanduku la kura na kutua magogoni. Utajisikia kiuungulia kama mama mjamzito au?!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom