Mkuu wa mkoa Dar es Salaam nenda Mbagala katatue mgogoro mliouanzisha kuhusu soko la Zakhiem

Hismastersvoice

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
18,673
22,264
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli.

Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye fremu yake na kumpa namba, hizo namba wafanyabiashara wanazo na ndiyo ushahidi wao dhidi ya madai yako, nenda Mbagala Zakhiem kaoneshe majina ya waliofoji na wao watakuonesha namba walizopewa na manispaa, pia manispaa wanazo picha za wafanyabiashara husika.

Mkuu wa mkoa hapa kinachohitajika ni kueleza hao wafanyabiashara waliopewa kipaumbele cha kupata fremu za mwanzo wametoka wapi wakati hawakuwepo kwenye soko la awali.

Nenda Zakhiem ili wananchi wajenge imani kwenu katika ugawaji wa keki ya taifa.
 
Huyo RC ni kimeo blabla nyingi matokeo 0, hilo jiji anayeweza kulitendea haki ni yule RC wa Njombe
 
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli. Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye fremu yake na kumpa namba, hizo namba wafanyabiashara wanazo na ndio ushahidi wao dhidi ya madai yako, nenda Mbagala Zakhiem kaoneshe majina ya waliofoji na wao watakuonesha namba walizopewa na manispaa, pia manispaa wanazo picha za wafanyabiashara husika.
Mkuu wa mkoa hapa kinachohitajika ni kueleza hao wafanyabiashara waliopewa kipaumbele cha kupata fremu za mwanzo wametoka wapi wakati hawakuwepo kwenye soko la awali.
Nenda Zakhiem ili wananchi wajenge imani kwenu katika ugawaji wa keki ya taifa.

Huyo Mkuu wa mkoa ni mzuri kwenye kuongea ila mengineyo hamna kitu.
 
Hivi ni lini mtafunguka fahamu zenu kuwa wateule wote hawawajibiki kwa umma zaidi ya mteuzi?

Hata vile viapo wanavyokula wanatamka kabisa nani wanawajibika kwake
 
Tunajua wateule wa sasa ni wafanyabiashara wamewageuka wananchi lakini na sisi tataishi nao kama tunavyotaka mpaka kieleweke.
 
Mkuu wa mkoa ni mpya muelewesheni kwa utaratibu ila nae ni saa mbovu!
Mkuu wa mkoa alifika kwenye soko mwezi wa 8 kwa ajili ya kulifungua lakini hakufanya hivyo baada ya kuona kasoro na aliahidi atapewa majina na usalama wa taifa tu na yawe ya waliokuwepo awali. Utaratibu na majina yakiambatanishwa na picha yako kwa mkurugenzi wa manispaa. Mkuu wa mkoa anajua majina yako wapi kwani alielezwa kuhusu kuchukuliwa taarifa za wafanyabiashara.
Kwa kifupi mkuu wa mkoa aliyefika mwezi wa 8 amebadilika na kuwa mwingine japo sura yake ni ileile.
 
Yule ni comedian kama akina Mpoki tu,hana lolote!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
Kilichotuacha hoi ni kuyageuka aliyoyaahidi, pili kalifungua soko akiwa zaidi ya mita miambili(200) kutoka soko lilipo na wala hakufika eneo la soko akiogopa maswali, ametufanya tusimuamini tena na mbaya zaidi la kuongopa eti wafanyabiashara wamechakachua majina wakati picha na majina yako ofisini kwa mkurugenzi.
 
Mkuu wa mkoa umeonekana kwenye TBC 1 saa mbili usiku ukitoa shutuma kuwa wafanyabiashara wamefoji majina! Pamoja na udogo wao kimadaraka shutuma hizo si za kweli.

Mkuu wa mkoa kabla ya soko la awali kubomolewa wafanyabiashara waliokuwepo manispaa ya Temeke iliwapiga picha kila mmoja kwenye fremu yake na kumpa namba, hizo namba wafanyabiashara wanazo na ndiyo ushahidi wao dhidi ya madai yako, nenda Mbagala Zakhiem kaoneshe majina ya waliofoji na wao watakuonesha namba walizopewa na manispaa, pia manispaa wanazo picha za wafanyabiashara husika.

Mkuu wa mkoa hapa kinachohitajika ni kueleza hao wafanyabiashara waliopewa kipaumbele cha kupata fremu za mwanzo wametoka wapi wakati hawakuwepo kwenye soko la awali.

Nenda Zakhiem ili wananchi wajenge imani kwenu katika ugawaji wa keki ya taifa.
Utakuta ccm ishapandikiza watu wao humo
 
Zoezi la FRemu Zakhem lifutwe, Tenda itangazwe kwenye mtandao kama Kinondoni ilivyofanya kwenye Soko La Mwenye/Stendi ya Mwenge.
Atakayepanda dau kubwa ndiye atakayepata kibanda.
Haya mambo ya kuandika majina hakuna fairness!
 
Hauwezi kufutwa kwani mikataba tayari walikwishapewa kwa maandishi na picha wafanyabiashara wa awali na mkuu wa mkoa alikazia hivyo kabla ya kubadili gia angani na kuwagawia ndugu zao.
 
Cycym hawajawahi kulea kukuza wazalendo, cycym hulea wezi, majangili, vibaka wa mali za umma, wahujumu uchumi na mazulumati wa mali na haki za watu.
Hapo mkuu wa jiji anakoriga ngazi ili frem wapewe wanaotoa pesa sio wasaga soli wanyonge, kizuri zaidi wana chombo chao cha tbc kutolea kauli ili kutisha walengwa wao, ni wezi, wezi wenye ngozi ya kondoo, waovu wasiojali mwananchi wa hali ya chini, wachumia tumbo wasioshiba kamwe.
Wenyewe wana msemo wao "kelele za chura....."
 
Back
Top Bottom