Tegeta Nyuki kujengwa Soko la Kimataifa, hongera Askofu Dkt. Gwajima

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,012
142,044
Jana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alifanya ukaguzi wa Soko zima na kuahidi kurudi tena hivi karibuni kukutana na Wafanyabiashara Wote kuwaeleza Mpango wa Serikali wa kuliboresha Soko hilo la Tegeta Nyuki

Habari zinasema litajengwa Soko Jipya la Kimataifa na Mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima PhD ndiye anayefuatilia kwa karibu uboreshaji huo

Nawatakia Sabato njema 😀
 
Hahahaaa!! Alie mleta kakufa zake. Naona anahaha vp ile safari ya watu kutoka jimboni kwake kwenda BARNHAM wameenda?. Muda ni mwalimu mzuri
 
Jana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alifanya ukaguzi wa Soko zima na kuahidi kurudi tena hivi karibuni kukutana na Wafanyabiashara Wote kuwaeleza Mpango wa Serikali wa kuliboresha Soko hilo la Tegeta Nyuki

Habari zinasema litajengwa Soko Jipya la Kimataifa na Mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima PhD ndiye anayefuatilia kwa karibu uboreshaji huo

Nawatakia Sabato njema 😀
Bado tunasubiri train 🚆 ya umeme.
 
Nawatakia Sabato njema
Mbona hafuatilii kile chuo cha uvuvi alichowaahidi wana Kawe? Walioenda Birmingham wamesharudi?
 
Jana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alifanya ukaguzi wa Soko zima na kuahidi kurudi tena hivi karibuni kukutana na Wafanyabiashara Wote kuwaeleza Mpango wa Serikali wa kuliboresha Soko hilo la Tegeta Nyuki

Habari zinasema litajengwa Soko Jipya la Kimataifa na Mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima PhD ndiye anayefuatilia kwa karibu uboreshaji huo

Nawatakia Sabato njema
Jimbo la Kawe barabara nyingi hazipitiki. Msigani hakuna hata daladala kutokana na ubovu wa barabara. Mivumoni hakupitiki, mabwepande shida kweli kweli.
 
Huyu askofu ni muongo huyu. Si ndiyo huyu huyu aliahidi kuwahamishia USA wananchi wote wa jimbo la Kawe?
 
Taarifa yenyewe imeandikwa kwa kukurupuka kama sio kishabiki. Na pili sidhani Kama Gwajima ana PhD, yake ni hizi hizi za kina Musukuma et al..
 
Jana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alifanya ukaguzi wa Soko zima na kuahidi kurudi tena hivi karibuni kukutana na Wafanyabiashara Wote kuwaeleza Mpango wa Serikali wa kuliboresha Soko hilo la Tegeta Nyuki

Habari zinasema litajengwa Soko Jipya la Kimataifa na Mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima PhD ndiye anayefuatilia kwa karibu uboreshaji huo

Nawatakia Sabato njema 😀
GWAJIMA huyuhuyu wa kutupeleka Birmingham? Wa kununulia ndege?
 
Jana Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni alifanya ukaguzi wa Soko zima na kuahidi kurudi tena hivi karibuni kukutana na Wafanyabiashara Wote kuwaeleza Mpango wa Serikali wa kuliboresha Soko hilo la Tegeta Nyuki

Habari zinasema litajengwa Soko Jipya la Kimataifa na Mbunge wa Kawe Askofu Dr Gwajima PhD ndiye anayefuatilia kwa karibu uboreshaji huo

Nawatakia Sabato njema
Aslkofu huyu huyu alie uza Nchi kwa Wadubai? Kwa.kifupi wabunge wote walio uza Bandari hata wangetugawia Keki sina imani nao, ni wasaliti
 
Back
Top Bottom