UVCCM kanda ya ziwa kuasi - haitambui matokeo ya uchaguzi uvccm sasa kuunda umoja mpya( UMVCCM)

Hamna lolote watu wa kanda ya ziwa ndio wafuasi sugu wa lowasaa wewe umenuna kwa sababu makonda uliyemtaka mwenye ndimi mbili kapigwa chini
 
Au ndo mnavizia pesa za mafisadi mnaona wenzenu wamefaidi saaana......huwezi kupata haki ukiwa ndani ya ccm ondokeni tuwaone km nyie ni vijana wa kazi na sio vijana njaa
 
poleni sana vipofu mliobahatika kuiona nuru, japokuwa fikra zenu bado zinawaza kuwa hamjauona Mwanga. Karibuni CHADEMA tukomeshe hali kama hiyo nchini na kunusuru kodi za wananchi kutotumika katika mambo ya ovyo:lol::lol::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus:
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

Hapo kwenye RED ndo chanzo cha hasira zenu na si rushwa kama ulivyoanza uzi wako manake inaonekana mgekuwa na wawakilishi UVCCM taifa basi mambo yangekuwa ni sawa tu!

Nilishasema " Ukimuona kada wa CCM analalamikia Rushwa/Ufisadi basi jua yeye kakosa mgao au aliyenufaika na hiyo rushwa/ufisadi ni mshindani wake kisiasa"!

Hii ya rushwa kwenye chaguzi tumeisikia karibia wiki nzima, na kama mgekuwa mnakerwa na rushwa mngejitoa kabla ya huo uchaguzi wenyewe. Au mnataka tuamini kuwa rushwa ilitolewa baada ya matokeo!

Hawa wachumia tumbo tu..hakuna mwenye ubavu wa kufanya hiki kitu..mnaanzisha ukanda sasa naona CD yenye ya udini inakaribia kuchuja..CCM ni janga..
 
wanatafuta njia ya kupa fedha ili wapewe mkwanja halafu waje na kauli za kukanusha.
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa
4.MKOA wa Mbeya wajitokeza nao kuungana na Kanda ya Ziwa kupambana na Uongozi wa Kifisadi uliosimikwa hakika sasa mapinduzi ya kweli ndani ya chama yanakwenda kutokea

Okay, nyie mlikuwa mnamtaka nani?
 
JK alisema "njia nyeupe kwa anayetaka kuhama" hawakupewa mshiko hao. Kama Mbunge wao alishindwa kupendekezwa uwenyekiti Wazazi Taifa na hajaondoka, na hao vijana hawaendi popote. CCM ina wenyewe ambao ni MAFISADI
 
Kama ni mapambano ya kudai haki, endeleeni nayo tu, hata kama bado mko ndani ya CCM. Msikate tamaa. God bless...

Ila mshikamane kama Varsities wakati wa kunji...
 
Mr. Emmy na Wana JF,
Maneno mengi bila Matendo ni Bure tu, Msitake kutuchanganya Wananchi na Matatizo ya Nchi.
Mpaka hapo mtakapochukua Hatua na Matendo yenu, ndipo tutakapowaamini.
Njaa ni kitu Kibaya. Mngekuwa mmeshiba sidhani kama ungekuja na Nyimbo zako hizi.
Nawakilisha.

Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa
4.MKOA wa Mbeya wajitokeza nao kuungana na Kanda ya Ziwa kupambana na Uongozi wa Kifisadi uliosimikwa hakika sasa mapinduzi ya kweli ndani ya chama yanakwenda kutokea
 
Okay, nyie mlikuwa mnamtaka nani?

Achana nao Hao ni wale wa AZIMIO LA PWANI.. wakishirikiana na wazee wa CCJ na Sasa wamehongwa kukataa matokeo ka walivyoongwa kupiga kura .. SISQO KUBWA LA MAADUI
 
Njaa kali hao wako kwenye kudi lisilokuwa na hela, la Samweli Sitta na wenzake! Hahahahaaaa irudieni CCJ yenu! CCM haitakiwi na watanzania haiungwi mkono tunawasubiri 2015 pambavu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom