UVCCM kanda ya ziwa kuasi - haitambui matokeo ya uchaguzi uvccm sasa kuunda umoja mpya( UMVCCM)

Hakuna lolote hapo, hiyo ni mikwara mbuzi tu.

Mkwele atakuja na kusema uchaguzi umekwisha na makundi yamevunjwa sasa turudi tukajenge chama, vijana na nyinyi mtalipuka kwa shangwe na vigerere za nyimbo za Komba ''Nambari wani ni CCM''
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATE

Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
Mnataka kujitenga kwa sababu rushwa ilitumika kuwapata viongozi au kwa sababu hakuna mwakilishi kutoka kanda ya ziwa? kama ni kwa sababu ya rushwa hiyo ni sahii kabisa lakini kama ni kwa sababu hakuna mwakilishi kutoka kanda ya ziwa huo ni ubinafsi na ukabila na hatuwezi kuwaunga mkono kwa hilo kamwe.
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATE

Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama

Hapo kwenye red sijakuelewa !
 
Huu ni usanii kwa kuwa mnachotaka kukifanya hakipo kwenye katiba ya CCM!
 
Kijana ambaye yuko ndani ya UVCCM namuonea huruma sana na sijui baada ya miaka miwili ijayo nchi itakapokabidhiwa kwa wazalendo familia yake itakuwaje kwani wamezoea maisha ya kutegemea RUSHWA! Bila RUSHWA HAKUNA NYINYIEM.
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATE

Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama

Nakupongeza kwa kujua mbinu mbadala ya kupiga mkwara wako huu... Nawachukia sana wale wanaopiga mkwara kwa kutishia kuhamia CDM...
 
Mbona hata Zitto Kabwe na kambi yake ameasi CDM lakini bado yupo CDM
Mnamuiga Zitto!!
Katu hamtaweza hiyo kitu. Kwanza muulizeni Kafulila halafu tena muulizeni Hamad Rashid.

Kama mmeamua kuasi chama muasi kabisa kabisa sio nusu nusu, tokeni mhamie upinzani ili ijulikane wazi nyie sio wanaCCM.
 
UVCCM ipo kwa mujibu wa KATIBA ya CCM. Umoja wenu huu utakuwepo kama NGO au kitu gani? Acheni hizo. Kubalini dau lenu la kununua kura lilikuwa dogo.
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATE

Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama

Mtatapa tapa sana mwaka huu ikija kufika 2015 mtakuwa na Sub CCM kama 10 na kuendelea. Poleni kwa kukosa mgao na sasa mnafanyiana unoko. Good news for M4C , vita ya panzi furaha ya kunguru.
 
Hii imekaa vipi mkuu? Mbona JK mwenyewe jana au asubuhi hii alionya kuhusu vitu vya namna hiyo - don't underrate JK, akipata taarifa za uhakika kuhusu mambo ya rushwa - uchaguzi mzima utaufutilia mbali na kuhamuru urudiwe upya. Jamani UVCCM si ndio viongozi watarajiwa, inawezekana kivipi kuruhusu vices kama hizo ndani ya vijana-hapo watakuwa wanajenga TAIFA la kesho lenye vijana wa mahadili GANI si ndio watakuwa balaa.
 
Njaa,fitina,majungu,unafiki,ufisadi,ufirauni.....vinawasumbua....nyambaffffff,rabbish..tupa kule na magamba yenu hata mkanyongane mmelaaniwa mpaka na shetani!!
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa

Kama hamtaki si muende mkaendeleze CCJ yanu eti Kanda ya ziwa tumeona hadi Kanda ya titi Leo mnatishia Kanda ya ziwa habari ndo hiyo Sisqo anawapeleka mputamputa hadi 2015 mtaisoma namba Hao ndio viongozi Makonda na Sitta ndo muwape uongozi CCJ, msitake kuleta issue za AZIMIO LA PWANI..ka vp tulieni msubiri ukuu wa wilaya si mliahidiwa au? MJINI MIPANGO KIJIJINI KILIMO
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom