UVCCM kanda ya ziwa kuasi - haitambui matokeo ya uchaguzi uvccm sasa kuunda umoja mpya( UMVCCM)

Mr Emmy

JF-Expert Member
Mar 12, 2012
1,219
550
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa
4.MKOA wa Mbeya wajitokeza nao kuungana na Kanda ya Ziwa kupambana na Uongozi wa Kifisadi uliosimikwa hakika sasa mapinduzi ya kweli ndani ya chama yanakwenda kutokea
 
Wana SISIem bana.... tatizo lenu kubwa mnakimbilia madaraka kwa ajenda binasi. Ugonjwa unaowasumbua ni njaa, ubinafsi, umimi. Hizi ndio zile siasa Uchwara alizozizungumzia R..... nyie endeeeni kudundana ... vita ya panzi furaha ya kunguru
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM
unachekesha kweli asa mnaanzisha umoja ndani ya umoja au chama ndani chama .... ondekeni kwani mmeshikiwa bunduki mueendelee kuwa ccm......afu mko chini ya nani sita au
 
Nyie mngekua wapiganaji wa ukweli mngejitoa humo mkapambana nao, lakini kama mko humo mtadhibitiwa na Vikao vya chama...wala msisikike tena!!
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

Kwa CCM niijuayo hakuna kitu kama hicho. Hakuna kijana au mzee wa kupingana na nguvu ya vigogo.
Kama vijana hao watathubutu kufanya yaliyoandikwa hapo juu yatakuwa ni maajabu ya dunia!
Time will tell.
 
Kanda ya Ziwa haitakiwi na hAO Vijana wa CCM toka kanda ya ziwa ni vyema wajue kuwa hakuna lolote watakaloambulia. Mfano ni zile kelele za Mzee wao MKONO,Hoo, sikubaliani , mara patachimbika lakini mwisho wa siku ni kukubaliana na matokeo. Sasa basi Vijana wetu hawa siodhani kama wanalijua hilo kuwa hawatapata kufanya lolote kwani uchaguzi umekwisha na mambo yamekwisha. Mbona Mwenyekiti na babayao Mweshimiwa PRESIDA Kikwete alikuwepo hapo jana tu na kukemea RUSHWA sasa inakuwaje mtoto wake ashutumiwe kwa kugawa fedha ( Murungura).
Basi CCM ni Janga la kitaifa na TAKUKURU ni jibwa lisilokuwa na Meno na Mazing'aombwe ya CCM kwa kuipamba na Kuiboresha.
CCM ni zimwi na kusema ukweli kwa RUSHWA, CCM ni sawa na SAMAKI na MAJI.
Wito: Kuikataa CCM ni kukataa RUSHWA na siku ( 2015) CCM itakapokabidhi nchi kwa Wapinzani ndio mwanzo wa vita ya kweli kwenye RUSHWA kwani ukiitamka CCM maana yake CHAMA CHENYE MURUNGURA (CCM).
 
Nyinyi woote mnaoishabikia nyinyiemu ni mashetani tu, mpo hapo kwa ajili ya njaa tu na mavyeti yenu feki, na ajira/vyeo vya kupeana, mtu makini, na anayejali wenzake maskini hawezi kuwa sisiemu mpaka leo, so tifuaneni hata muuane hakuana atakayelia, tutawatupa kagera muwe chakula cha mamba, kufeni kabisa, haamna faida nyie woote
 
kibaka anaaasi vibaka wenzake kwa kukosa noti ya alfu kumi

kama mko serias acheni kabisa chama cha rushwa sio kuja kulalama humu kama wavuta unga wa mwenge bus stand!!!

Nyambafffffffffff kabisa wahed
 
UMVCCM, huwezi kupambana na rushwa ukiwa ndani ya ccm wakati ndiyo itikadi ya chama. Hamna support ya mtu yeyote. Nina wahurumia ndugu zangu msije mkawa kama Dr Ulimboka, Mwakyembe, Mwangosi n.k. Achaneni na ccm siyo baba wala mama yenu. Mtapoteza maisha yenu bure. Nime waambia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom