UVCCM kanda ya ziwa kuasi - haitambui matokeo ya uchaguzi uvccm sasa kuunda umoja mpya( UMVCCM)

Kama huko kumewaboa kwanini msiungane na sisi huku CHADEMA? Hivi ukiugomea uongozi wa UVCCM taifa halafu na kuanzisha umoja wako utakuwa unaoperate wapi, na utakuwa unatekeleza sera za chama kipi? Hizo kero zenu na mipango yenu mtaiwasilisha kwa nani? Hivi chama cha kiasi kitakuwa na kauli kwa nani? Kama mnataka kuanzisha chama cha upinzani basi kiiteni kwa jina kabisa kwamba ni chama cha upinzani lakini siyo eti CCM iliyojitenga? Huo mimi naona ni upuuzi tu.
 
Vigamba vidogo vidogo. Nimeshangaa sana leo nimeota ndoto eti CCM imegawanyika
 
Tunangojea majumuisho ya katibu mwenezi wa chama atakayotoa baada ya chaguzi hizi ndani ta chama chake kabla ya uchaguzi wa mwenyekiti taifa, nadhani atakuwa na mengi ya kutuambia juu ya siasa za rushwa ndani ya siasa za ccm.
 
Move yoyote ndani ya magamba si lolote si chochote. Utawezaje kumuondoa mwenzio kwenye matope na wewe upo ndani ya tope!!! Watanzania tusidanganyike, hiki chama sasa kimefikia hatua ya kufa. Kinachotakiwa sasa ni kukisukumia kifilie mbali na kufukia kabisa kabisa kisije kikafufuka tena hapo baadaye.
 
Sasa si mjitenge tuuuu mnamtisha nani? Yan hamna tofauti na JK anavyoshangaa kuwepo rushwa kwenye chaguzi za nyinyiem!
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa
4.MKOA wa Mbeya wajitokeza nao kuungana na Kanda ya Ziwa kupambana na Uongozi wa Kifisadi uliosimikwa hakika sasa mapinduzi ya kweli ndani ya chama yanakwenda kutokea

:target:ACHENI MBWEMBWE! MR EMMY NA MAGAMBA VIJANA WENZIO WA KANDA YA ZIWA HUNA TOFAUTI SANA NA MWANAUME ANAEMFUKUZA MKEWE MCHANA MBELE ZA WATU ALAFU UCKU ANALALA NAE KITANDA KIMOJA. MSIDANGAYE WATU HILO CHAMA LIMEJIOZEA LENYENYE! NATAKA NIWATHIBISHIE KUWA HATA KWA PUNJE YA ULEZI HAMUWEZI KUMSHINDA LOWASA WALA KUZIMA RUSHWA NDANI YA CCM. MTARUDI TU NA HIYO UMVCCM MTAIVUNJA WENYEWE TENA KWA KUHONGWA. TUOMBE UZIMA.
 
yangu yatakuwa macho na masikio . macho kuona kitachacho tokea kwani sitarajia kama kutakuwa na mtu wa kuasi na kuanzisha huo umoja wao. masikio ni kusikia yatakayo tokea
 
I dont believe this as it seems there are strong holders in ccm and can make anything they want to stay in power. Lets see, time is the best medicine for this
 
Njaa kali hao wako kwenye kudi lisilokuwa na hela, la Samweli Sitta na wenzake! Hahahahaaaa irudieni CCJ yenu! CCM haitakiwi na watanzania haiungwi mkono tunawasubiri 2015 pambavu!

:target:ACHANA NAO HAO WANATA KUTUPANDISHA HASIRA TU HAPA. ET" mapinduzi ya kweli ndani chama yankwenda kutokea" mapinduzi ya wapi? wanataka waonekane alafu wanyamazishwe kwa kuhongwa il nao waambulie.
 
unachekesha kweli asa mnaanzisha umoja ndani ya umoja au chama ndani chama .... ondekeni kwani mmeshikiwa bunduki mueendelee kuwa ccm......afu mko chini ya nani sita au

"Kama kuna mtu asiyeridhika na Chama chetu atupishe mapema" JK
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa
4.MKOA wa Mbeya wajitokeza nao kuungana na Kanda ya Ziwa kupambana na Uongozi wa Kifisadi uliosimikwa hakika sasa mapinduzi ya kweli ndani ya chama yanakwenda kutokea

"YOU ARE GOOD FOR NOTHING AND FIT FOR NOWHERE!! DON'T BLACKMIND PEOPLE... Dhambi ya ubaguzi na uchu wa madaraka itawatafuna sana!
 
naona mkuu walikuluka kwenye mgao. ungekua na wewe umepokea chako wala usingekuja na upuuzi huu. mzee six kafulia hakuwapa chochote. mikoa unayoitaja inanjaa sana...tabora vumbi tupu toka enzi hizo tupo noys pale....sasa nawashangaa sana mnapo anzakujigamba na nyinyi mpo sisimu kama vijana huku mkiona hakuna maendeleo yoyote yanayo letwa na sisimu. hapa unadhibitisha kua unanjaa sana, pia umethibitisha wewe mwenyewe kua hamkupata uwakilishi. so ishu ni njaa zenu na kugombea madaraka ili muweze kuchuma vizuri lakini hamna jipya katika kukwamua hali mbaya ya maisha kwa jamii.
Mwambie SIX ajipange vyema na atafute pa kutokea silivyo na ubunge wanamuangusha kwa rushwa.
 
Habari za mchana Wadau wa mabadiliko na mapinduzi ya kweli ya Tanzania.

Napenda kuwataarifu kuwa Vijana wa UVCCM kutoka Kanda kuu ya Ziwa na magharibi ( Shinyanga,Geita,Simiyu, Mwanza,Mara, Kagera na Tabora) tupo katika kikao kizito kwasasa hapa Dodoma na moja ya agenda iliyopitishwa na Vijana wa kanda hii kuasi na kutambua uongozi wa UVCCM uliopitishwa kwa Rushwa na Makundi ya Lowasa na Ridhiwan.

Vijana kutoka Kanda ya Ziwa wamesikitishwa na nguvu kubwa ya fedha iliyotumika katika kuwapitisha viongozi wa UVCCM na Jumuia nyingine na kufikia maamuzi ya kujitenga na umoja huo endapo CCM taifa itabariki matokeo hayo.

Aidha kutokana na UVCCM kutoka Kanda ya ziwa kukosa uwakilishi katika Uongozi wa juu wa UVCCM Taifa tumeamua kujitenga na UVCCM Taifa na kuunda kamati ya mpito itakayoongoza Umoja mpya wa Vijana CCM ( UMVCCM).

Kwa pamoja tutawashinda Mafisadi
NDANI NA NJE YA CCM

UPDATES

1.Viongozi wa wapya wa UVCCM wapigwa marufuku kutembelea Mikoa yote ya Kanda ya Ziwa kuimarisha chama
2.Wenyeviti wa mikoa CCM na Jumuia zake kukutana kwa dharura kubariki maaumuzi ya vijana wao
3. Yapendekezwa kuwa Kanda ya Ziwa igomee uchaguzi wa Wazazi na Mkutano Mkuu wa CCM Taifa
4.MKOA wa Mbeya wajitokeza nao kuungana na Kanda ya Ziwa kupambana na Uongozi wa Kifisadi uliosimikwa hakika sasa mapinduzi ya kweli ndani ya chama yanakwenda kutokea

kwa CCM RUSHWA NA UFISADI NI KAMA MBGONJWA NA UJI. HATA HIVYO UONGOZI UNAOWEKWA SASA HIVI NIWA MPITO KUTOKA CHAMA TAWALA HADI KUWA CHAMA CHA UPINZANI.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom