DOKEZO Ajenda ya ‘KUMSEMEA MAMA’ yaipasua UVCCM

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Waziri wa fedha na mipango Dk. Mwigulu Lameck Nchemba amewaita vijana mbalimbali toka Kanda ya Ziwa na kukutana nao mkoa wa Singida mnamo tarehe 22.02.2023 kwa kile alichodai kuwa ni kumsemea mama huku nyuma yake kukiwa na ajenda ya siri na yenye nio ovu kwa vijana na viongozi wao.

Kikao hiki cha viongozi wa UVCCM Kanda ya Ziwa na Mwigulu alichotumia kupenyeza ajenda zake zenye lengo la kujijenga yeye binafsi ili awe na sauti kwenye jumuiya hiyo, ni muendelezo wa wa vikao vyake na viongozi mbalimbali wa jumuiya hiyo wa kanda mbalimbali.

Mwingulu Nchemba anayo platform rasmi ya kumsemea mhe. Rais kupitia Uwaziri wake na vijana wanayo platform ya kumsemea mama ambayo ni jumuiya ya Vijana kupitia Kiongozi wake Taifa na wale wa mikoa, wilaya, kata na matawi kitendo cha Kuwaita vijana kinyume na utaratibu wa Jumuiya yao ni kukiuka taratibu na kujenga chuki na uhasama kati ya vijana na viongozi wao Taifa.

Waswahili walisema fumbo mfumbie mjinga mwerevu ataelewa katika hili Kuna ajenda ya siri kuelekea chaguzi si tu katika Ile ndoto yake ya kuwa Rais wa nchi bali katika kutengeneza safu za uongozi miongoni mwa vijana na kutengeneza sintofahamu.

Haya sawa vijana wa Kanda ya ziwa wamelamba mikono yenye bahasha ya milioni moja kila mmoja na fedha za kujikimu nauli, malazi na chakula Kuna kumsemea Rais kwa bahasha, anayo yafanya mama.Mwigulu kashindwa kuyasema kupitia wizara yake,? je, Jumuiya ya vijana imeshindwa kumsemea Mama ?

Ombi langu kwa Mhe. Rais mama yangu Samia Suluhu Hassan Imani uliyo iweka kwa baadhi ya wasaidizi wako hususani Mwigulu Lameck Nchemba wanaitumia vibaya sana, nakuomba mama jicho lako linaona mara tatu ya jicho langu, una vyombo, unakila aina ya pua la kunusa hili usiliache lipite.

Wakati vijana na viongozi wao wanapambana kuwa wamoja na kupaza sauti zao kwa ajili yako Mwigulu anawagawa na kuwatumia kwa ajenda zake binafsi.

Hii nchi ni ya watanzania wote na wote wanayo haki ya kula keki ya Taifa kwa haki na sifa stahiki na si kwa kuwekwa na watu wanotumia madaraka na nafasi walizopewa vibaya kwa maslahi binafsi.

Mhe. Rais hotuba zako mara zote ulipokutana na vijana ulisema mafanikio ya Vijana ni UMOJA, MSHIKAMANO na UPENDO umenukuliwa mara kadhaa mhe. Rais ukisema VIJANA WASITENGENEZEANE AJALI, chuki na Wivu visiwe sehemu ya vijana na badala yake Vijana wafanye kazi.

Sasa Mwigulu amekuwa kinyume nawe katika hili sasa ajenda yake ni Kuwagawa vijana, kuwatumia vijana, kujenga chuki na kufarakanisha vijana na kuweka makundi kwa maslahi yake.

Moja ya wajibu wangu kama kijana mzalendo wa nchi hii ni kuilinda nchi yangu, kukilinda chama changu na jumuiya zake na kuwalinda viongozi wangu kwa wivu mkubwa anacho kifanya Mwigulu hakivumiliki kwa mzalendo yoyote nchini.
 
Hana haja ya kumsemea mama coz yafuatayo yameshamsemea na WA Tanzania tumemwelewa!!

1.Mgao wa umeme umeshamsemea!

2.ugum wa maisha Kwa watz kumeshamsemea!

3.maisha duni ya watumishi was umma kumeshamsemea!!

Na mengine meeengi tunayafanyia kazi!!
 
Acha kumchafua Mheshimiwa Mwigulu Nchemba. kwani kuna ubaya gani yeye akiwaita vijana na kuzungumza nao? Kwani wewe unaumia nini yeye akiwa na sauti na mshauri kwa vijana? Kwanini unakuwa na wivu kiasi hicho kwa Mheshimiwa waziri wetu mchapa kazi na anayefanya kazi nzuri na njema kabisa kumsaidia Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan katika kutekeleza majuku yake aliyopewa ya kuongoza wizara ya fedha? Mimi nasema kuwa kama una mipango ya kumchafua Mheshimiwa Mwigulu basi hutafanikiwa maana kila mtu anafahamu rekodi safi aliyonayo ndani ya chama pamoja na serikali.

Lakini pia mchango wake katika Taifa hili kwa chama na serikali ni mkubwa sana ambao huwezi ukaharibu taswira yake nzuri aliyonayo katika Taifa letu. Acha Mheshimiwa Mwigulu afanye kazi.acha wivu wako.wewe kama unaona amekuzidi kete basi kaa kwa kutulia tu. Mimi sipendi habari za kuja kumchafua mtu humu jukwaani ambaye ni waziri wetu na kiongozi wetu halafu unajiita mwana CCM.kama una dukuduku peleka kwenye vikao vya chama na siyo kuleta umbea wako humu jukwaani
 
Acha kumachafua Mheshimiwa Mwigulu Nchemba. kwani kuna ubaya gani yeye akiwaita vijana na kuzungumza nao? Kwani wewe unaumia nini yeye akiwa na sauti na mashauri kwa vijana? Kwanini unakuwa na wivu kiasi hicho kwa Mheshimiwa waziri wetu mchapa kazi na anayefanya kazi nzuri na njema kabisa kumsaidia Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan katika kutekeleza majuku yake aliyopewa ya kuongoza wizara ya fedha? Mimi nasema kuwa kama una mipango ya kumchafua Mheshimiwa Mwigulu basi hutafanikiwa maana kila mtu anafahamu rekodi safi aliyonayo ndani ya chama pamoja na serikali.

Lakini pia mchango wake katika Taifa hili kwa chama na serikali ni mkubwa sana ambao huwezi ukaharibu taswira yake nzuri aliyonayo katika Taifa letu. Acha Mheshimiwa Mwigulu afanye kazi.acha wivu wako.wewe kama unaona amekuzidi kete basi kaa kwa kutulia tu. Mimi sipendi habari za kuja kumchafua mtu humu jukwaani ambaye ni waziri wetu na kiongozi wetu halafu unajiita mwana CCM.kama una dukuduku peleka kwenye vikao vya chama na siyo kuleta umbea wako humu jukwaani
CHAWA pwekee usiekua na akili jizi kubwa kama mwigulu unatoa wapi ujasili wa kulitetea Sasa limeongeza kitaga uchumi kingine IHEFU wewe upo hapa kuyapamba majambazi ya pen
 
Acha kumchafua Mheshimiwa Mwigulu Nchemba. kwani kuna ubaya gani yeye akiwaita vijana na kuzungumza nao? Kwani wewe unaumia nini yeye akiwa na sauti na mshauri kwa vijana? Kwanini unakuwa na wivu kiasi hicho kwa Mheshimiwa waziri wetu mchapa kazi na anayefanya kazi nzuri na njema kabisa kumsaidia Mheshimiwa Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan katika kutekeleza majuku yake aliyopewa ya kuongoza wizara ya fedha? Mimi nasema kuwa kama una mipango ya kumchafua Mheshimiwa Mwigulu basi hutafanikiwa maana kila mtu anafahamu rekodi safi aliyonayo ndani ya chama pamoja na serikali.

Lakini pia mchango wake katika Taifa hili kwa chama na serikali ni mkubwa sana ambao huwezi ukaharibu taswira yake nzuri aliyonayo katika Taifa letu. Acha Mheshimiwa Mwigulu afanye kazi.acha wivu wako.wewe kama unaona amekuzidi kete basi kaa kwa kutulia tu. Mimi sipendi habari za kuja kumchafua mtu humu jukwaani ambaye ni waziri wetu na kiongozi wetu halafu unajiita mwana CCM.kama una dukuduku peleka kwenye vikao vya chama na siyo kuleta umbea wako humu jukwaani
Kama hata baba wa taifa alikua anakosolewa yeye ninani hasa asikosolewe?
 
Kuna ajenda ya siri kuelekea chaguzi si tu katika Ile ndoto yake ya kuwa Rais wa nchi bali katika kutengeneza safu za uongozi miongoni mwa vijana na kutengeneza sintofahamu.
Mungu ni fundi na hapangiwi. Amebaki kuwa Rais wa mawe na makontena yaliyo telekezwa
 
Back
Top Bottom