Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,192
- 3,353
petbyte ni storage yenye 1000 terabytes aka 1,000,000 gigabytes mh aisee hii storage utaweka nin?
mm ntaanza kurekod maisha ya mdogo wang wa miaka 5 mpaka atakapo anza kupiga kura... Nb high defntion na resolution ya kufa mtu...
petbyte ni storage yenye 1000 terabytes aka 1,000,000 gigabytes mh aisee hii storage utaweka nin?
mh mkuu movie gan na pcha gan hizo zitahitaji zaid ya petabyte utajaza katun,3d hata porn lakn hazitafika petabyte mziki mwingine
una pesa za kununulia HD camera???
kwangu mimi sitaumiza sana kichwa matumizi yatakuwa kama yafuatavo
1. 400 tb itakua kwajili ya movies na katuni kali hata za kingwendu mwendo mdundo
2. 80 tb nadhani itakua nikwajili ya music videos
3.20 tb nadhani natupia mp3 audio za miziki yote hata twisti utazikuta
4.250 tb collection ya program za audio,pjotos,internet,video editing mpaka hacking kama backtrack
5.150 tb game kali zote ikiwa compyuter itakua na uwezo mkubwa wa kuzi run bila tatizo
6.50 tb ntaweka uchafu woteeeeee iwe picha au video quality 1080p
7.50 tb ntazituna\za dree space ili storage ipate sehemu ya kupimua
waheshimiwa nilikuwa naomba kuwauliza,Hard disc ya 1 TB nitaipata kwa shilingi ngapi?
na je maker mzuri ni yupi?
NB:
Ni ya computer kubwa sio laptop.