utajaza vitu gani kwenye petabyte(1,000,000 gb)?

Hapo ndo kasheshe... Hata nkitaka kununua digtal cam huwa najkusanya... Sasa kwa hd s ndo ntauza kila kitu na kukopa juu

Take a daily still photograph of the kid, I've been doing it for the last two months, it's easy and cheaper.
 

Mbona nyingi sana katika maduka ya kompyuta kwa Dar! Najua unaongelea internal hard disc. Kwa uzoefu wangu, hard disc nzuri ni pamoja na Maxtor, Seagate, Western Digital na Samsung. Nina western digital na Seagate nilinunua mwaka 2006, nazitumia kama externa HDD zinadunda mzigo mpaka leo
hebu nimegee huo utaalamu wa kutumia internal hardisk kuwa external , maana nina internal hapa ya 1tb inahangaika tu
 
Mie nitaitumia for kuanzisha huduma ya kulipia ya file hosting. Aambapo mtu atatozwa kwa data atakayohifadhi kwenye server yangu.
 
hebu nimegee huo utaalamu wa kutumia internal hardisk kuwa external , maana nina internal hapa ya 1tb inahangaika tu

Easy sana mbona!
Ukienda maduka ya k'koo, kama uko Dar, uliza casing za externl hard disc. Zinauzwa katika maduka mengi yanayouza kompyuta mpya. Ukishanunua hii casing then unaweka hiyo HDD yako humo. Kama vipi unaenda nayo hiyo internal HDD kabisa palepale dukani, wanakuwekea wao wenyewe kwenye casing. Ndani ya muda mfupi unakuwa na external HDD. Aghalabu hii asing inakuwa na usb cable.
 
simple xana mana watu tushajaza ma seresebyte(10000000000000 gb) na mamfolilobyte(10000000000000000000000000000000gb)

Kaka hayo majina ni ya kitaalamu au vipi Tusije sema mbele za watu halafu tukaonekana vitumbua si unajua siye wengine siyo wataalamu kihivyo wa Hardware za hizi vitu? Dah Serese byte,mara sijui Mamfolilobyte,hadi nimecheka mtu wangu
 
Mie nitaitumia for kuanzisha huduma ya kulipia ya file hosting. Aambapo mtu atatozwa kwa data atakayohifadhi kwenye server yangu.

talking about server, huku kwetu umeme full kukata, so ili kusitokee down time mara kwa mara inabidi kuwa na standby generators..kwa mtu mmoja kuanzisha server ambayo ni stable inahitaji mtaji wa kutosha
 
waheshimiwa nilikuwa naomba kuwauliza,Hard disc ya 1 TB nitaipata kwa shilingi ngapi?
na je maker mzuri ni yupi?

NB:
Ni ya computer kubwa sio laptop.

i prefer samsung hard disks, one terabite kwenye duka la samsung ni elfu mia mbili za kitanzania sawa na laki mbili bila senti,

ukubwa sio ya pc ni hard disk ya laptop, ila nadhani hata izo kubwa zipo
 
ntatumia 1 tb zingine zote free space........ coz too much of something is harmful
 
Back
Top Bottom