utajaza vitu gani kwenye petabyte(1,000,000 gb)?

High resolution images/ movies in research to replicate human vision, zitahitaji petabyte zaidi ya moja.

My personal collection - admittedly with backups- is approaching that 100 TB mark.

A PB could hold 40,000 single-layer bluray disc images.
 
mh mkuu movie gan na pcha gan hizo zitahitaji zaid ya petabyte utajaza katun,3d hata porn lakn hazitafika petabyte mziki mwingine
 
HD movie ya maisha ya mtu mwenye miaka 10 let's say saa 1 inachukua 30Gig(like in Blue Ray Disc) so italya hivi
10×365×34×30=2.6Peta Bytes
 
mm ntaanza kurekod maisha ya mdogo wang wa miaka 5 mpaka atakapo anza kupiga kura... Nb high defntion na resolution ya kufa mtu...
 
ila nahs ile isidingo the need ingekua hd unaweza kuta ingejaza hyo kitu
 
waheshimiwa nilikuwa naomba kuwauliza,Hard disc ya 1 TB nitaipata kwa shilingi ngapi?
na je maker mzuri ni yupi?

NB:
Ni ya computer kubwa sio laptop.
 
petbyte ni storage yenye 1000 terabytes aka 1,000,000 gigabytes mh aisee hii storage utaweka nin?

simple xana mana watu tushajaza ma seresebyte(10000000000000 gb) na mamfolilobyte(10000000000000000000000000000000gb)
 
statistics zinasema youtube wanapokea 4.1 za terabytes kwa siku (hapa wanalimit urefu wa video)

So kwa mwaka ushaijaza kama una website kama youtube
 
Examples of the use of the petabyte to describe data sizes in different fields are:

  • The world's effective capacity to exchange information through two-way telecommunication networks was 281 petabytes of (optimally compressed) information in 1986, 471 petabytes in 1993, 2,200 petabytes in 2000, and 65,000 (optimally compressed) petabytes in 2007 (this is the informational equivalent to every person exchanging 6 newspapers per day).[SUP][1][/SUP]
  • Computer hardware: Teradata Database 12 has a capacity of 50 petabytes of compressed data.[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP]
  • Internet: Google processes about 24 petabytes of data per day.[SUP][4][/SUP] The BBC's iPlayer is reported to use 7 petabytes of bandwidth each month.[SUP][5][/SUP] Imgur transfers about 4 petabytes of data per month.[SUP][6][/SUP] Netflix uses 1 petabyte to store the videos for streaming.[SUP][citation needed][/SUP]
  • Telecoms: AT&T transfers about 30 petabytes of data through its networks each day. [SUP][7][/SUP]
  • Physics: The experiments in the Large Hadron Collider produce about 15 petabytes of data per year, which will be distributed over the LHC Computing Grid.[SUP][8][/SUP]
  • Neurology: It is estimated that the human brain's ability to store memories is equivalent to about 2.5 petabytes of binary data.[SUP][9][/SUP]
  • Climate science: The German Climate Computing Centre (DKRZ) has a storage capacity of 60 petabytes of climate data.[SUP][10][/SUP]
  • Archives: The Internet Archive contains about 5.8 petabytes of data as of December 2010.[SUP][11][/SUP] It was growing at the rate of about 100 terabytes per month in March 2009.[SUP][12][/SUP][SUP][13][/SUP]
  • Games: World of Warcraft uses 1.3 petabytes of storage to maintain its game.[SUP][14][/SUP] Steam, a digital gaming service developed by Valve, delivers over 30 petabytes of content monthly.[SUP][15][/SUP]
  • Film: The 2009 movie Avatar is reported to have taken over 1 petabyte of local storage at Weta Digital for the rendering of the 3D CGI effects.[SUP][16][/SUP][SUP][17][/SUP]
  • In August 2011, IBM was reported to have built the largest storage array ever, with a capacity of 120 petabytes.[SUP][18][/SUP]
  • In January 2012, Cray began construction of the Blue Waters Supercomputer, which will have a capacity of 500 petabytes making it the largest storage array ever if realized[SUP][19][/SUP]
  • In July 2012 it was revealed that CERN amassed about 200 petabytes of data from the more than 800 trillion collisions looking for the Higgs boson.[SUP][20][/SUP]
[SUP]

SOURCE: Petabyte - Wikipedia, the free encyclopedia
[/SUP]

[h=2][edit][/h]
 
kwangu mimi sitaumiza sana kichwa matumizi yatakuwa kama yafuatavo

1. 400 tb itakua kwajili ya movies na katuni kali hata za kingwendu mwendo mdundo
2. 80 tb nadhani itakua nikwajili ya music videos
3.20 tb nadhani natupia mp3 audio za miziki yote hata twisti utazikuta
4.250 tb collection ya program za audio,pjotos,internet,video editing mpaka hacking kama backtrack
5.150 tb game kali zote ikiwa compyuter itakua na uwezo mkubwa wa kuzi run bila tatizo
6.50 tb ntaweka uchafu woteeeeee iwe picha au video quality 1080p
7.50 tb ntazituna\za dree space ili storage ipate sehemu ya kupimua
 
kwangu mimi sitaumiza sana kichwa matumizi yatakuwa kama yafuatavo

1. 400 tb itakua kwajili ya movies na katuni kali hata za kingwendu mwendo mdundo
2. 80 tb nadhani itakua nikwajili ya music videos
3.20 tb nadhani natupia mp3 audio za miziki yote hata twisti utazikuta
4.250 tb collection ya program za audio,pjotos,internet,video editing mpaka hacking kama backtrack
5.150 tb game kali zote ikiwa compyuter itakua na uwezo mkubwa wa kuzi run bila tatizo
6.50 tb ntaweka uchafu woteeeeee iwe picha au video quality 1080p
7.50 tb ntazituna\za dree space ili storage ipate sehemu ya kupimua


mhhhh we mkali hiyo bujet. Utaeza kuvitumia vyote hivyo hizo muvi na katuni utaziangalia zote?
 
hizo zote zinafaa hasa kwenye ofisi ambazo computer ni nyingi sana na kazi zenu zote zinatumia computer backup zote zitakuwa kuanzia mlipoanzisha kampuni mpaka sasa..
 
waheshimiwa nilikuwa naomba kuwauliza,Hard disc ya 1 TB nitaipata kwa shilingi ngapi?
na je maker mzuri ni yupi?

NB:
Ni ya computer kubwa sio laptop.

Mbona nyingi sana katika maduka ya kompyuta kwa Dar! Najua unaongelea internal hard disc. Kwa uzoefu wangu, hard disc nzuri ni pamoja na Maxtor, Seagate, Western Digital na Samsung. Nina western digital na Seagate nilinunua mwaka 2006, nazitumia kama externa HDD zinadunda mzigo mpaka leo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom