Badilisha mlango wa CD kuwa storage

Teknolojia ni Yetu sote

JF-Expert Member
Apr 28, 2020
445
754
BADILI MLANGO WA CD KUWA STORAGE

Hivi Unajua kwenye laptop Ile sehemu ya kuweka CD (optical drive ) unaweza kubadilisha kuwa sehemu ya storage kuweza kuhifadhi vitu !!

Najua watu wengi mlikua hamjui ? Kuna kitu kinaitwa HDD caddy ni special case ambayo inatumika kuweka hard disk au SSD kwenye laptop kuwa Kama storage.

Hdd caddy Ina frame ya plastiki ambapo utaweka hard disk Drive au SSD yenye mpaka ukubwa wa inch 2.5. ndani iyo case Kuna adapter ambayo ndo inayotumika ku connect HDD au SSD.

Hdd caddy muonekano wake huko Kama vile optical drive ( mlango wa CD) ambayo utaweka ndani ya laptop Yako. Ivyo kwa nje mtu ataona utofauti wowote kwenye laptop Yako.

Unajua faida za Hdd caddy
• unaipa nguvu zaidi laptop Yako na kuipa nafasi kubwa zaidi kwa kuchanganya hdd yoyote au SSD mfano utaweza kuweka SSD labda gb 128 na hdd 500 ivyo moja inatumika kwa windows nyingine kuhifadhi vitu

• HDD au SSD Yako inakua connect na Sara protocol. Kwani ukitumia SATA Iko very fast katika kutumia ivyo unaongeza performance

• kwani hdd caddy huwezi kuions ivyo mtu hawezi Kujua Kama umeweka hdd mbili au sdd mbili

• pia unaweza kutumia kuweka window zaidi ya moja bila shida yoyote tu ukawa unachagua wakati unataka kutumia laptop Yako.

Gharama yake ni 15000 tu mikoani tunatuma Kama Kawaida

Tupigie Sasa #0692630904 / #0765171270

Badilisha mlango wa CD kuwa storage Device kwenye laptop Yako

Teknolojia ni Yetu sote
 
Bila picha na maelezo yaliyoshiba ni utapeli tuu kama wa tuma hela kwenye namba hii... labda sifahamu kuwa Rom driver zina shape tofauti tofauti katika laptop.. au una meaanisha kwenye Desktop only... napo sawa inawekwaje sasa?
 
We jamaa nimekusoma.

Kwa ambao hamjamuelewa; ana maana kwamba teknolojia kwa sasa imekua sana na matumizi ya CD + CD drive ni nadra au tuseme yana-phase out.

Hivyo wadau tayari wamebuni kutumia ile space ya CD kwenye laptop zetu za zamani kuwekea external Hard Disk, na hivyo kuongezea uwezo wa laptop kuhifadhi data.
 
We jamaa nimekusoma.

Kwa ambao hamjamuelewa; ana maana kwamba teknolojia kwa sasa imekua sana na matumizi ya CD + CD drive ni nadra au tuseme yana-phase out. Hivyo wadau tayari wamebuni kutumia ile space ya CD kwenye laptop zetu za zamani kuwekea external Hard Disk, na hivyo kuongezea uwezo wa laptop kuhifadhi data.
Bado haujaeleweka hata wewe, laptop zina design tofautitofauti za milango ya CD labda Desektop
 
Bila picha na maelezo yaliyoshiba ni utapeli tuu kama wa tuma hela kwenye namba hii... labda sifahamu kuwa Rom driver zina shape tofauti tofauti katika laptop.. au una meaanisha kwenye Desktop only... napo sawa inawekwaje sasa?
Ndo maan ukawambiwa karibu ofisin akuna utapeli iyo nj maendeleo ya teknolojia kaka
 
Nipo mkoani, je unaweza kupakilia muvi kabisa ukanitumia yenye 500Gb?? If yes basi niambie bei Tufanye biashara.. Lakini pia kama unauza Externals itapendeza zaid
 
Back
Top Bottom