rosemarie
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 6,887
- 3,412
Kwako mr Kibonde,
Siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa Lady Jaydee, yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo na kifikra hata kimaongezi. Lakini yule jamaa baada ya kuondoka umebaki ukifanya kazi nafikiri na vijana wadogo sana wasio na uzoefu hasa wa kimaisha na nafikiri uwezo wao wa kuelewa bado mdogo sana na wanaitaji kufanya kazi chini ya uangalizi maalum na sio kwenye vipaza sauti strait.
Angalia sana hilo kwa sababu nahisi umaarufu wako utakufa na utabaki mtu wa kubwabwaja ovyo!
Kwa ushauri zaidi ni-pm nikupe njia ya kujiondoa kwenye huo mtego!