Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

rosemarie

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
6,889
3,412
Kwako mr Kibonde,

Siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa Lady Jaydee, yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo na kifikra hata kimaongezi. Lakini yule jamaa baada ya kuondoka umebaki ukifanya kazi nafikiri na vijana wadogo sana wasio na uzoefu hasa wa kimaisha na nafikiri uwezo wao wa kuelewa bado mdogo sana na wanaitaji kufanya kazi chini ya uangalizi maalum na sio kwenye vipaza sauti strait.

Angalia sana hilo kwa sababu nahisi umaarufu wako utakufa na utabaki mtu wa kubwabwaja ovyo!

Kwa ushauri zaidi ni-pm nikupe njia ya kujiondoa kwenye huo mtego!

yeah NN, some JF member cant sleep, cant eat, can poop, cant even shag till they hear or see Kibonde.... He is like an addictive pill to these dudes

wamwache kibonde washike yao, he is paid to do what he does, now does rosemarie get paid to eat, dream, sleep, talk Kibonde??? HELL NO

janjaweed long time not see!
hao waliofanya hivyo <kumpangia kazi na watoto wadogo>wana sababu maalum kwa kibonde!labda kummaliza kitaaluma bila yeye kujua!

Umaarufu wa ichi kibonde mbona ulisha ishaga..no one takes him sereously nowdays anavyo lopokaga..watu wanamwona hamnazo.futuhi.

Umaarufu wa ichi kibonde mbona ulisha ishaga..no one takes him sereously nowdays anavyo lopokaga..watu wanamwona hamnazo.futuhi.

nafikiri itakuwa vema kama akifanya kazi na mature experience kuliko watoto wadogo

nafikiri itakuwa vema kama akifanya kazi na mature experience kuliko watoto wadogo

Itakusaidia nini???
kama boss wake haoni afanyacho
you cant change anything

nafikiri itakuwa vema kama akifanya kazi na mature experience kuliko watoto wadogo

Ni kweli wakati ule yuko Habash Gadner alikuwa ana mcontrol kiasi kikubwa sana, jamaa (habash) yuko makini sana more than Kibonde. ilikuwa akianza kutoka nje ya mada (kuingiza personal feelings) jamaa anacut off, hivo muda wote kubaki ktk mada husika. Ukweli kipindi kile "Jahazi" kimepwaya sana baada ya gadner kuondoka.

lakini pia hii ni njia ya yeye na clous fm kwa ujumla kupata habari hii...gadner amepata dili kwingine au?

Ni kweli wakati ule yuko Habash Gadner alikuwa ana mcontrol kiasi kikubwa sana, jamaa (habash) yuko makini sana more than Kibonde. ilikuwa akianza kutoka nje ya mada (kuingiza personal feelings) jamaa anacut off, hivo muda wote kubaki ktk mada husika. Ukweli kipindi kile "Jahazi" kimepwaya sana baada ya gadner kuondoka.

i agree with you.... baada ya kyondoka Gadner hata Jahazi imekuwa ngumu kuitofautisha na PB ao sometimes inakuwa kama habari za kina Dina Marios na Gea Habib

Duh! Pls don't bring attention to him if he irks you, he's now on his way to being a celeb here, mpotezeee tu

Most of the time he is in control of the situation. He is knowledgeable.humorous,satirical and utterly comical. Mi binafsi namkubali sana.
I think his one obvious flaw is his bias to sisiem,he always fails to be analytical of the contemporary issues

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom