Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

Halafu nashangaa mpaka sasa hakuna mtu aliyeanzisha sredi ya kumtwisha Kibonde lawama za mgao wa umeme. Au ipo lakini mi ndo bado sijaiona?

Nimemsikiliza sana huyu bwana Kibonde.

Kwa kweli mie naona yuko poa, swala la kuongea pumba, hilo kila binadamu analo, sasa kama kuna mtu hapa anajiona yuko jasiri kama Kibonde na kwenda kuongea malalamiko ya wananchi yanayoanzia maji, umeme, uchafu mtaani, haki mbalimbali kwa wananchi, uendeshaji mbaya barabarani, uongozi mbovu na kila uchafu tunaoufanya wananchi na viongozi wetu, BASI NAYE AENDE KWENYE RADIO STATIONS, AONGEE HIZO POINT MNAZOSEMA.

Wote tuko kutaka nchi yetu iende poa, yeye kwa nafasi na uwezo wake ndio anafanya hivyo, WEWE UNAEMPONDA UNAFANYA NINI KTK KUISAIDIA TZ YETU????

Sema wewe kiazi, nikisema mimi muhogo ntaambiwa mizizi

Regina Mwalekwa nadhani kapotea njia. ile si aina ya redio inayomfaa, Radio one ndo ilikuwa mahali pake.

Regina kuchekesha ni kitu kisichowezekana kama vpi awe anasoma taarifa za habari tu

kwako mr kibonde
siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa lady jaydee,
yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo,na kifikra hata kimaongezi,
lakini yule jamaa baada ya kuondoka umebaki ukifanya kazi nafikiri na vijana wadogo sana
wasio na uzoefu hasa wa kimaisha,na nafikiri uwezo wao wa kuelewa bado mdogo sana,
na wanaitaji kufanya kazi chini ya uangalizi maalum na sio kwenye vipaza sauti strait,
angalia sana hilo kwa sababu nahisi umaarufu wako utakufa na utabaki mtu wa kubwabwaja ovyo!
kwa ushauri zaidi ni-pm nikupe njia ya kujiondoa kwenye huo mtego!
jamani kwami kibonde ndio nani?mbona mi simfaham.nifahamisheni wadau.ila kwa sisi tunao fuatilia habari za mpira wa miguu neno "kibonde" linamaana nyingine zaidi.sasa cjui mnamainisha kibonde ile ya kisimba na yanga au...ha ha ha.....nasikia 2015 atagombea ubunge jimbo moja wapo nchini.

Nyie mtu ana Dvs four ya mwisho huko mnamjadili dame

Kila mtu anajifanya anajua matokeo yake ya form four. Wewe unasema alipata divisheni four ya mwisho. Mwingine anadai "inasemekana" alipata ZERO. Divisheni four ya mwisho na ZERO ni sawa? Na ushahidi wa matokeo yake unao?

umaarufu wa kibonde unatiwa nakshi hapa... haya endeleeni kumwagia sifa na kashfa.. vyote vinamjenga mtu kwa nafasi yake

RIP Kibonde, twaona CMG inapata pigo baada ya pigo kwa kuondokewa na watu wenye madini...
Hatuna ujanja, safari yetu ni huko huko tu...
Pole kwa wafiwa..

Back
Top Bottom