Ushauri kwako Kibonde (Clouds FM)

Most of the time he is in control of the situation. He is knowledgeable.humorous,satirical and utterly comical. Mi binafsi namkubali sana.
I think his one obvious flaw is his bias to sisiem,he always fails to be analytical of the contemporary issues

yule jamaa aliyefanya naye kazi alisaidia sana kum-control,amepoteza heshima ile
 
Most of the time he is in control of the situation. He is knowledgeable.humorous,satirical and utterly comical. Mi binafsi namkubali sana.

Me too. He is a commentator, a shock jock and very good at it.

I think his one obvious flaw is his bias to sisiem,he always fails to be analytical of the contemporary issues

That can't be a flaw. It's his prerogative.
 
this kid called ANORD KAYANDA ndo anamuaribia zaidi, when it comes to a critical coment the kid anacoment upupu tu.. nna mashaka na shule yake.
reference> siku wakijadili hotuba ya kambi ya upinzani wizara ya elimu
 
wakuu hii imekaaje?

Ukweli wa mambo, tena ukweli usiopingika ni kwamba katika vituo vya redio Tanzania Clouds wako juu kama mawingu. Na hii iko manisfested na jinsi wanavyotawala mawazo na mazungumzo ya watu. Kule kwenye habari mchanganyiko kuna kalalamika kuhusu PJ na nani yule sijui mwingine. Sasa mimi najiuliza mbona vituo vya redio vipo vingi tu Tanzania....sasa kwa nini kila siku iwe Clouds tu ndiyo iwe ya kulaumiwa? Jibu ni moja tu...SUCCESS
 
kwani yule Regina Mwalekwa siyo matured? alikuwa anapair na Kibonde ila siku hizi simsikii tena.
 
kwako mr kibonde
siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa lady jaydee,
yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo,na kifikra hata kimaongezi,
lakini yule jamaa baada ya kuondoka umebaki ukifanya kazi nafikiri na vijana wadogo sana
wasio na uzoefu hasa wa kimaisha,na nafikiri uwezo wao wa kuelewa bado mdogo sana,
na wanaitaji kufanya kazi chini ya uangalizi maalum na sio kwenye vipaza sauti strait,
angalia sana hilo kwa sababu nahisi umaarufu wako utakufa na utabaki mtu wa kubwabwaja ovyo!
kwa ushauri zaidi ni-pm nikupe njia ya kujiondoa kwenye huo mtego!

Nimemsikiliza sana huyu bwana Kibonde.
Kwa kweli mie naona yuko poa, swala la kuongea pumba, hilo kila binadamu analo, sasa kama kuna mtu hapa anajiona yuko jasiri kama Kibonde na kwenda kuongea malalamiko ya wananchi yanayoanzia maji, umeme, uchafu mtaani, haki mbalimbali kwa wananchi, uendeshaji mbaya barabarani, uongozi mbovu na kila uchafu tunaoufanya wananchi na viongozi wetu, BASI NAYE AENDE KWENYE RADIO STATIONS, AONGEE HIZO POINT MNAZOSEMA.
Wote tuko kutaka nchi yetu iende poa, yeye kwa nafasi na uwezo wake ndio anafanya hivyo, WEWE UNAEMPONDA UNAFANYA NINI KTK KUISAIDIA TZ YETU????
 
Hivi huyu kibonde kabla ya utangazaji alkuwa ananyadhifa gani hapa TZ, Naona hazpiti cku 2 bila thread inayomhusu. Pendekezo mimi naona mnampaisha sana na hakuna ulazma wakuanzsha thread inayomuhusu hvyo basi naonelea ni vema kama mnaushauri kwake ni bora mkaenda kule FB na mkamtumia sms kwa urahisi.
 
Kibonde ni uber-media personality. Katika Tanzania hakuna radio talk show host kama yeye. Na ukweli huo unajidhihirisha hapa JF.
 
naunga mkono hoja kwa herufi kubwa. Au anaweza kuanzisha jukwaa la clouds media group halafu kibonde akawekewa sub-forum yake.
MchakaMchaka na NN, nimeshindwa kuvumilia imebidi nicheke.....Btw: NN hii bado pro bono?
 
kwako mr kibonde
siku za nyuma ulifanya kazi vizuri sana na yule jamaa nafikiri ni mume wa lady jaydee,
yule jamaa alikuwa mature zaidi kiumri,kimtazamo,na kifikra hata kimaongezi,
lakini yule jamaa baada ya kuondoka umebaki ukifanya kazi nafikiri na vijana wadogo sana
wasio na uzoefu hasa wa kimaisha,na nafikiri uwezo wao wa kuelewa bado mdogo sana,
na wanaitaji kufanya kazi chini ya uangalizi maalum na sio kwenye vipaza sauti strait,
angalia sana hilo kwa sababu nahisi umaarufu wako utakufa na utabaki mtu wa kubwabwaja ovyo!
kwa ushauri zaidi ni-pm nikupe njia ya kujiondoa kwenye huo mtego!
Nikusahihishe kidogo ngugu, nadhani hao vijana ndio wenye akili kuliko huyu kubwa jinga. Arnold Kayanda is more matured kifikra nadhani kuliko vijana wote wa Clouds
 
Kibonde ni kilaza tu! That is all that I know. Inasemekana alipata divisheni ZERO form six!
 
Kibonde ni kilaza tu! That is all that I know. Inasemekana alipata divisheni ZERO form six!

ukiichukia sisiemu ndo umchukie na Kibonde...lol(kidding)

anko mjini cheti cha nini? mbona akitaka anagushi tu, ila yy naona ameona hata hahitaji kupitia hayo yote. na ziro yake maish ayanasonga tu
 
Kibonde ni kilaza tu! That is all that I know. Inasemekana alipata divisheni ZERO form six!

Umejuaje Kibonde ni kilaza? And how do you quantify someone's intelligence? Do you mind sharing with us all? Na ni nani alikwambia mafanikio katika formal education ni ishara ya werevu au akili? Wewe ulipata divisheni gani fomu siksi?

Na kama unajiamini hivyo na intellectual prowess yako, show ya Kibonde si ni interactive? Enhee basi siku moja piga simu, utoe maoni yako kumpinga halafu muende head to head ili tuweze kupima akili zenu tuone nani anamzidi akili mwenzake. Unaonaje?
 
Back
Top Bottom