Ushauri wa Bure kwako Kijana wangu Paul Makonda

Song of Solomon

JF-Expert Member
Aug 5, 2021
2,733
5,490
Ngoja niseme mapema yakija kuvunda niwakumbushe.
Kijana wangu Paulo, mimi ni mmoja ninaoamini una uwezo mkubwa wa uongozi na unaweza kufika mbali. Nilishaandika huko nyuma sifa zako.

Mimi sipendi mtu. Napenda matokeo ya kazi yake na tabia yake.

Naona walewale waliokuponza wewe na mwenzio Sabaya ndio haohao wanakumwagia tena misifa ya kijinga. Ukilewa tena utaanguka tena.

Paulo uliinuliwa na JPM. Lakini alipokushauri uache tamaa ubaki na u RC ukampuuza. Ukaanguka pwaa. Lakini mungu bado anakupenda. Mama kakupandisha tena. Na ni kusifie hili: baba alipokuangusha ulitulia tulii. Hii imekusaidia sana kurudi juu. Walioanguka wakafanya vituko bado wako chini.

Paulo, nafasi aliyokupa mama inakufaa sana. Inaendana na wewe. Lakini punguza spidi. Usisikilize hawa wajinga. Ukianguka tena wao na hamsini zao.

Ngoja kijana nikwambie jambo: JPM sio wewe. Style ya JPM iliendana na yeye. Ukumbuke yeye alikuwa top boss. The buck stopped on his table. The buck does not stop on yours!

Waziri Mkuu, Makamu wa Raisi, Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi, n.k. hawawajibiki kwako. Usihadaike ukiwapigia simu wanapokea, ukiwaita wanakuja mbio, ukiwaambia simama wanasimama! Katika siasa kuna comedy of survival!.

Ungeweza kufungua vifua vyao ungestajabu! Ungesikia sauti "huyu naye"!

Najua wachache sana wanaoweza kukupa huu ushauri. Binadamu wengi wanafiki au wanatakia wenzao anguko.

JPM alikuwa na uwezo wa kumfuta kazi yoyote yule. Wewe huna. JPM alikuwa ndiye highest accounting officer. Akiagiza apewe bilioni akagawe barabarani hakukuwa wa kusema no! Wewe utagawa hela zipi? Za ccm?

Paulo hakika ukiendelea hivi utaanguka. Kumbuka ulipokuwa Dar ulivyopendwa mpaka na askari? Ukiwaambia mguuuu sawaaa wanatekeleza! Lilipokuja anguko uliwaona?

Nenda kwa hekima Paulo utafika mbali. Unaweza kutatua kero za wananchi kwa kuwa na ufuatiliaji mzuri. Najua wewe ni mfuatiliaji mzuri sana. Simba mwenye kelele huambulia 5G.

Ni hayo tu kijana wangu. Kule kwenye group la viongozi umeona comment zao kuhusu huu ushauri wangu.

Sikiliza wenye busara!
 
Ulitaka Askari waendelee kumpigia saluti Makonda wakati wa Mapumziko yake nje ya Siasa?.

Wee unadhan kwann Luaga Mpina ,licha ya Uwezo mkubwa anaounyesha, bado mfumo unamtenga??. Unahisi mfumo hauelewi Uwezo wake au haumuoni?.

Subiri muda sahihi ufike.

Kuna watu ili wawe salama, ni lazima mbinu ya Kumfanya Adui wako ajihisi kushinda lazima itumike.

Hamna anguko la Makonda ,kaletwa Kwa makusudi, hao wakumuangusha, kwan walishtukizwa Makonda huyu hapa??

Siwalikuwepo, na pengine walinuna, walisonya ,na ndio hao walopenyeza taarifa mapema, nakulipa Vijana mitandao kumchafua Upya??.

Lkn Si jamaa kachaguliwa kama kawaida?.
 
Ushauri wako haumfai kwa nafasi aliyenayo nikwambie tu tabia zake ndio zimemfanya awe hapo alipo na wewe uwe kwenye nafasi ulipo sasahivi. Hata the late bulldozer aka tinga tinga ama chuma alikiwa alivyokuwa kwa tabia zake.

Kifalsafa ushauri wako ni sifuri. Nikukumbushe kuna nchi mfano Japan ukitoa ushauri bila kuombwa ni kesi kabisa. Huwezi kumshauri mtu afanye kitu fulani kwa lugha nyingine ni kuwa hukubaliani nayeye hivyo unataka yeye akufuate.

Kama unaweza tumia busara na hekima zako uweze kupata nafasi yake na ufanye majukumu yake.
 
Ulitaka Askari waendelee kumpigia saluti Makonda wakati wa Mapumziko yake nje ya Siasa?.

Wee unadhan kwann Luaga Mpina ,licha ya Uwezo mkubwa anaounyesha, bado mfumo unamtenga??. Unahisi mfumo hauelewi Uwezo wake au haumuoni?.

Subiri muda sahihi ufike.

Kuna watu ili wawe salama, ni lazima mbinu ya Kumfanya Adui wako ajihisi kushinda lazima itumike.

Hamna anguko la Makonda ,kaletwa Kwa makusudi, hao wakumuangusha, kwan walishtukizwa Makonda huyu hapa??

Siwalikuwepo, na pengine walinuna, walisonya ,na ndio hao walopenyeza taarifa mapema, nakulipa Vijana mitandao kumchafua Upya??.

Lkn Si jamaa kachaguliwa kama kawaida?.
Mpina ana uwezo gani? Pumba tupu kichwani mwake
 
Ngoja niseme mapema yakija kuvunda niwakumbushe.
Kijana wangu Paulo, mimi ni mmoja ninaoamini una uwezo mkubwa wa uongozi na unaweza kufika mbali. Nilishaandika huko nyuma sifa zako.

Mimi sipendi mtu. Napenda matokeo ya kazi yake na tabia yake.

Naona walewale waliokuponza wewe na mwenzio Sabaya ndio haohao wanakumwagia tena misifa ya kijinga. Ukilewa tena utaanguka tena.

Paulo uliinuliwa na JPM. Lakini alipokushauri uache tamaa ubaki na u RC ukampuuza. Ukaanguka pwaa. Lakini mungu bado anakupenda. Mama kakupandisha tena. Na ni kusifie hili: baba alipokuangusha ulitulia tulii. Hii imekusaidia sana kurudi juu. Walioanguka wakafanya vituko bado wako chini.

Paulo, nafasi aliyokupa mama inakufaa sana. Inaendana na wewe. Lakini punguza spidi. Usisikilize hawa wajinga. Ukianguka tena wao na hamsini zao.

Ngoja kijana nikwambie jambo: JPM sio wewe. Style ya JPM iliendana na yeye. Ukumbuke yeye alikuwa top boss. The buck stopped on his table. The buck does not stop on yours!

Waziri Mkuu, Makamu wa Raisi, Mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wakurugenzi, n.k. hawawajibiki kwako. Usihadaike ukiwapigia simu wanapokea, ukiwaita wanakuja mbio, ukiwaambia simama wanasimama! Katika siasa kuna comedy of survival!.

Ungeweza kufungua vifua vyao ungestajabu! Ungesikia sauti "huyu naye"!

Najua wachache sana wanaoweza kukupa huu ushauri. Binadamu wengi wanafiki au wanatakia wenzao anguko.

JPM alikuwa na uwezo wa kumfuta kazi yoyote yule. Wewe huna. JPM alikuwa ndiye highest accounting officer. Akiagiza apewe bilioni akagawe barabarani hakukuwa wa kusema no! Wewe utagawa hela zipi? Za ccm?

Paulo hakika ukiendelea hivi utaanguka. Kumbuka ulipokuwa Dar ulivyopendwa mpaka na askari? Ukiwaambia mguuuu sawaaa wanatekeleza! Lilipokuja anguko uliwaona?

Nenda kwa hekima Paulo utafika mbali. Unaweza kutatua kero za wananchi kwa kuwa na ufuatiliaji mzuri. Najua wewe ni mfuatiliaji mzuri sana. Simba mwenye kelele huambulia 5G.

Ni hayo tu kijana wangu. Kule kwenye group la viongozi umeona comment zao kuhusu huu ushauri wangu.

Sikiliza wenye busara!
Nimekukubali mkuu,hata I'd Yako unastahili.
 
Ushauri mzuri wenye maono na upeo mpana wa kuishi na watu, [sio lazima iwe kwenye siasa] sema tu nimeuzika na mfano wa simba kuambulia 5G!
 
Gitaa kwa mbuzi
 
Anayegawa kazi hutoa na kitu wazungu wanaita, outline za job discriptions za muhimu mwanzoni** msomeni au fuatilieni matamko au matukio 5 ya mwanzo alioyofanya baada ya teuzi ndio kazi kuu alizodokezwa na mteuzi wake, au ndio dukuduku la kumteua.
 
Back
Top Bottom