Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,252
- 113,645
Na ni haki ya mtu hata kama alizaliwa nje ya nchi na wazazi wake wote au mmoja wa wazazi wake ni Mtanzania, kuwa na uraia wa Tanzania na wa huko alikozaliwa (bila kujalisha kama huko alikozaliwa ni Darfur, Kigali, London, au San Francisco). Na kwenye mambo ya ndoa ni hivyo hivyo.Mambo ya misplaced loyalty ni rahisi (yanawezekana) kuyadhibiti kwa kutumia sheria ambazo pia zita-safeguard resources na interests zetu.