UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

Israel itaendelea kusafisha Gaza na kuondoa magaidi wa dini...

Israel rejects the “vile” attempt to deny its right to defend itself and will continue to battle Hamas, Prime Minister Benjamin Netanyahu declares following a provisional ruling of the International Court of Justice calling on Jerusalem to take measures to prevent the commission of genocidal acts against Palestinians.

“Israel’s commitment to international law is unwavering. Equally unwavering is our sacred commitment to continue to defend our country and defend our people,” Netanyahu says in an English-language video posted online.
 
Sioni kama kuna matumaini katika kuleta ceasefire kwa kupitia ICJ. Kama muda wote huo ndio wamekuja na kauli za kuwabembeleza Israel kupunguza makali ya Ukatili.

Ni wazi kuwa bado Israel(Watoto Wa Mungu) wanaendelea kuwa washindi ktk hili.

Case ya wasauzi bila kupata kampani ya mataifa ya Wazungu sioni wakitoboa, wataendelea kupoteza muda the hague mpaka Watoto wa Mungu watakapo maliza malengo yao GAZA.

This time HAMAS wameyakanyaga. Na Dunia imechagua kuwaangalia tu kuona nini kitatokea moaka mwisho.

VIVA YISRAEL.
Kama majaji wote ni wakiristo ulitegemea nini? Mkiristo wapi wapi kumpendelea muislam? Mkiristo rafiki yake myahudi. Lkn Allah atajaalia ushindi mkubwa Palestina
 
Mkuu kwa jinsi S.Africa ilivyo wasilisha mashitaka hukumu iko sawa kabisa.

South Africa haikwenda kuishitaki Israel kwa kupigana na Hamas bali ali ishitaki kwa kukiuka sheria za vita zinazo walinda raia kwa mujibu wa sheria za kimataifa.
Kwa hiyo hapo kazi ya mahakama ni kuiamuru Israel izuie mauaji na ifuate sheria za kimataifa na sio kuacha kupigana na Hamas.

Kuna tofauti ya kupigana vita na kufanya mauaji ya kimbali.

Kwanza S.Africa iliwasilisha kesi katika vipengele viwili cha kwanza ni kuishitaki Israel kwa kufanya mauaji ya kimbali ,na katika kipengele cha pili ni mahakama izuie mauaji ya kimbali kuendelea kufanyika

Katika kipengele cha kwanza mahakama itakuwa na jukumu la kudhibitisha tuhuma za A.kusini kuwa ni kweli kabisa mauaji yanayo endelea gaza ni mauaji ya kimbali na Israel ndo mfanyaji au hayafai kuitwa mauaji ya kimbali kwa mujibu wa sheria za kimataifa, kesi hii inaweza chukua hata miaka 2 mpaka 3 maana kuna mchakato mrefu wa kisheria hapo unahitajika.

Kipengele cha pili ndo hukumu yake imetolewa leo.

Kuna mahali hukufuatilia vizuri.

Pamoja na hayo yote uliyoyasema, kama hatua ya haraka, South Afrika iliiomba mahakama itoe amri ya kusimamisha vita.
 
Wenye akili fupi kama wewe ndo mnakua October 7, watu wanapitia madhila miaka na miaka, kuna number of massacres zimefanywa.
muwage na akili nyie

Ni uwongo kusema Israel imekuwa ikiwaua wapalestina miaka na miaka. Huo ni uwongo mkubwa.

Kama unayoyasema ingekuwa ni kweli isingewezekana wapalestina wakati wote wawe wanajitahidi kupata kazi Israel. Ufahamu mwaka 2023 pekee kulikuwa na wafanyakazi takribani 300,000 wapalestina wanaofanya kazi ndani ya Israel wakitokea na kurudi Gaza kila siku. Hawatafuti kazi Misri, Labanon wala Jordan.

Muda wote hakuna askari wa IDF ndani ya Gaza wala Westbank.

Vifo vya uhasama vimekuwa vikifanyika kwenye maeneo ya mpakani yanayotajwa kuwa ni ya Wapalestina lakini yanakaliwa na wayahudi, kwenye vivuko vya mpakani, na mara chache, ndani ya Israel. Na vifo hivyo vinasababishwa na Hamas. Wengine wamekuwa wakiwashambulia kwa risasi wayahudi waliopo maeneo ya mpakani, hadi Israel ikaamua kuwapa waisrael waishio mpakani haki ya kumiliki silaha ili kujilinda. Na kuna Hamas ambao huwa wanawashambulia askari wa Israel wanaolinda vivuko, na wengine huingia ndani ya Israel na kujilipua (hasa kipindi cha nyuma). Kama ilivyo kawaida, hao magaidi wa Hamas wakifanya mauaji yoyote dhidi ya Israel, majibu ya Israel yanakuwa makubwa, na hapo ndipo malalamiko hutokea. Lakini wapalestina wasipowashambulia waisrael huwezi kusikia mauaji ya Wapalestina.
 
kwa hiyo ubishi wa nani mshindi wa vita unajulikana sasa maana kama upande fulani unalialia kuwa unafanyiwa genocide basi ukweli ushadhihirika wazi 🤣🤣🤣🤣. Dah ila mayahudi si watu wazuri. namba ya wafu inakaribia 30,000 hukooo dah
walikuwa hawajafikisha idadi maana wao ukiua Myahudi mmoja wao wataua 50, kama ni 30,000 bado hawajatimiza lengo kufikisha 35,000 maana waparestina waliua wayahudi 700
 
Hukumu ya leo imedhibitisha kuwa kweli Israel haifuati sheria za kimataifa maana Israel ingekuwa ina fuata sheria za kimataifa kama inavyo dai mahakama ingeyatupilia mbali madai ya S.Africa kuwa hayana msingi.
Of course, kuna madai ya South Africa ambayo ICJ imeona hayana msingi na imeyatupilia mbali, likiwemo la kuitaka ICJ iiamuru Israel kusimamisha vita (ceasefire).

Kwa kiasi kikubwa, maamuzi ya ICJ ni tofauti kabisa na kile South Africa iliiomba ICJ ifanye.
 
Kwahio we kuabudu makaburi ghafla umekuwa mwafrika halisi

Bangi msivute mkiwa na njaa.
Ni hatari sana kichwani.
Kula kwanza ushibe.
Kuabudu makaburi ni Bora mara mia kuliko kuabudu masanamu ya wazungu na waarab kama mfanyavyo nyie mikafiri
 
Back
Top Bottom