UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

Mahakama ya haki ya kimataifa, ICJ imeishindwa kuilazimisha israel kusitisha mapigano huko Gaza, na badala yake imeiamulu Israel ipunguze tu vifo vya raia wasio na hatia.

Kesi hiyo ilipelekwa na nchi ya Afrika Kusini, ikiituhumu Israel kusababisha mauaji ya kimbali huko ukanda wa Gaza.

Nchi za kiarabu zimeituhumu mahakama hiyo kwa kushindwa kuilazimisha Israel kusitisha vita ambavyo mpaka sasa vimeua Wapalestina 25,000 wakiwemo wapiganaji 9,000 wa kipalestina wa HAMAS. Kwa mjibu wa takwimu za wizara ya afya ya Gaza inayoongozwa na HAMAS, zaidi ya watoto 10,000 tayari wameshauawa.

Provisional ruling calls for emergency measures, says Israel must ‘prevent and punish’ incitement to commit genocide. ICJ fails to order ceasefire, but says Israel must prevent genocide in GazaView attachment 2883641
Mahakama hajasema ipunguze mauaji ya raia bali imeamuru Israel isitishe kufanya mauaji ya kimbali dhidi ya Wapalestina ndo maelezo yaliyoko kwenye nakala ya hukumu, ww hayo maelezo uliyo yaweka hapo umejitungia ili ujifurahishe tu.

Alafu kingine hiyo hukumu iliyo tolewa leo ni hukumu ya dharura kwa sababu ya mauaji ya kiholela yaliyo kuwa yanafanywa na Israel.
Kesi ya kuyatambua kama mauaji ya kimbali bado inaendelea inaweza chukua hata miaka 2.

Alafu hizo takwimu za wapiganaji 9000 kuuawa umeitoa wapi maana mpaka sasa kati ya Wapalestina 25000 ya walio uawa %75 ni wanawake na watoto.
 
Nimeamini hii mahakama ni chombo cha marekani.
 
Naamini ni ngumu sana kuipata mahakama yoyote itakayoitaka Israel isimamishe mashambulio.

Lile tendo la kigaidi la Hamas kuwaua raia wa Israel, kuwaua watu wa mataifa mbalimbali waliokuwepo Israel, kuwabaka mabinti na kisha kuwaua, limehalalisha mashambulizi ya Israel ya kila namna dhidi ya magaidi wa Hamas na mashabiki wao wote.

Ukienda nyumbani kwa mtu ukaua wanawe, maana yake umehalalisha na wa kwako kuangamizwa. Haijalishi wewe uliangamiza wachache, ujue wewe wa kwako wanaweza kuangamizwa wote. Na ndiyo kinachotokea huko Gaza. Magaidi ya Hamas waliwaua waisrael karibia 1,200; lakini mpaka sasa, Israel imewaangamiza wapalestina zaidi ya 26,000. Mpaka sasa malipo ya kumwua mwisrael mmoja imekuwa ni vifo vya wapalestina zaidi ya 20. Na namba inazidi kuongezeka.
Na ww unaamn kuna mtu aliyebakwa au unakarirshwa ..tukio la ghafla namna hiyo huo muda wa kubaka unautoa wapi
 
Hawa wajukuu wa Mwamedi huwa wanameza Viagra kabisa na mchuzi wa pweza, wacha washikishwe adabu ili wasije kufikiria tena kufanya ugaidi kama wa October 7.
 
Mahakama hajasema ipunguze mauaji ya raia bali imeamuru Israel isitishe kufanya mauaji ya kimbali dhidi ya Wapalestina ndo maelezo yaliyoko kwenye nakala ya hukumu, ww hayo maelezo uliyo yaweka hapo umejitungia ili ujifurahishe tu.

Alafu kingine hiyo hukumu iliyo tolewa leo ni hukumu ya dharura kwa sababu ya mauaji ya kiholela yaliyo kuwa yanafanywa na Israel.
Kesi ya kuyatambua kama mauaji ya kimbali bado inaendelea inaweza chukua hata miaka 2.

Alafu hizo takwimu za wapiganaji 9000 kuuawa umeitoa wapi maana mpaka sasa kati ya Wapalestina 25000 ya walio uawa %75 ni wanawake na watoto.
Nikupunguza acha ujuaji
 
Watapunguza vipi sasa hivyo vifo, na wakati wanayepigana naye haonekani hadharani!

Mimi naamini wataendelea tu kuaibika kwa kuua hovyo wanawake, watoto na wazee; huku hao wababe wao wa Hamas wakiendelea kuwafanyia ambush.
 
ICJ imetoa maamuzi ambayo ni obvious. Hakuna jipya!

Suala la kuitaka Israel itekeleze wajibu wake kwa mujibu wa sheria ya kimataifa ni suala ambalo hata mawakili wa Israel walilileta awali kwenye utetezi kuonesha kwamba Israel inatekeleza.

Simply, hakuna jipya!
 
Mahakama ya haki ya kimataifa, ICJ imeishindwa kuilazimisha israel kusitisha mapigano huko Gaza, na badala yake imeiamulu Israel ipunguze tu vifo vya raia wasio na hatia.

Kesi hiyo ilipelekwa na nchi ya Afrika Kusini, ikiituhumu Israel kusababisha mauaji ya kimbali huko ukanda wa Gaza.

Nchi za kiarabu zimeituhumu mahakama hiyo kwa kushindwa kuilazimisha Israel kusitisha vita ambavyo mpaka sasa vimeua Wapalestina 25,000 wakiwemo wapiganaji 9,000 wa kipalestina wa HAMAS. Kwa mjibu wa takwimu za wizara ya afya ya Gaza inayoongozwa na HAMAS, zaidi ya watoto 10,000 tayari wameshauawa.

Provisional ruling calls for emergency measures, says Israel must ‘prevent and punish’ incitement to commit genocide. ICJ fails to order ceasefire, but says Israel must prevent genocide in GazaView attachment 2883641
We kafiri umetoa tafsiri ya kigalatia hapo.

Wapi imeandikwa " lkn iendelee na vita".
We unadhani haya ni yale mahubiri ya kigoa mnayotafsiri uongo kanisani!
Mchungaji wa kigoa anasema " We must help the poor" mgalatia wa Bongo anatafsiri "lazima tuchange pesa nyingi kanisani:.

Pumbaf zenu . Hapa sio kanisa la buza.
 
Bi. Naledi Pandor waziri wa mambo ya nje wa South Africa alipoulizwa kuhusu hukumu, asema tungependa kuwepo tamko kupitia neno ulazima wa usiitishwaji wa vita, lakini kipengele hicho cha kuibana Israel kivita hakikuwepo na kwa ujumla kumeridhika na hukumu ya ICJ- Mahakama ya Kimataifa

View: https://m.youtube.com/watch?v=BN32kKHguG8
 
Mahakama hajasema ipunguze mauaji ya raia bali imeamuru Israel isitishe kufanya mauaji ya kimbali dhidi ya Wapalestina ndo maelezo yaliyoko kwenye nakala ya hukumu, ww hayo maelezo uliyo yaweka hapo umejitungia ili ujifurahishe tu.

Alafu kingine hiyo hukumu iliyo tolewa leo ni hukumu ya dharura kwa sababu ya mauaji ya kiholela yaliyo kuwa yanafanywa na Israel.
Kesi ya kuyatambua kama mauaji ya kimbali bado inaendelea inaweza chukua hata miaka 2.

Alafu hizo takwimu za wapiganaji 9000 kuuawa umeitoa wapi maana mpaka sasa kati ya Wapalestina 25000 ya walio uawa %75 ni wanawake na watoto.
Kwahiyo kwa kichwa chako punguani, Hao wanawake umejuaje kama sio Wanachama wa HAMAS? Mwenye akili anajua kabisa Ukiondoa watoto ambao wameuawa kwa kutumiwa kama kinga na HAMAS, Wengine wote waliouawa ni HAMAS.
 
Nachelea kusema, kama nchi hiyo ingekuwa ni Sudan au Venezuela, au kama ilivyotokea Russia vs Ukraine. Sasa hivi kungekuwa na arrest warrant ya Benyami N.

Hatahivyo haya mapengo(kukosekana kwa meno) yanayoonekana ndani ya ICJ, nafikiri, ni sababu tosha ya Nchi yenye kujielewa, kujiondoa huko. Tanzania ikiwa moja yapo. Hii mahakama imetutia hasara tu, tena sana kwa Waafrika.
 
Kwahiyo kwa kichwa chako punguani, Hao wanawake umejuaje kama sio Wanachama wa HAMAS? Mwenye akili anajua kabisa Ukiondoa watoto ambao wameuawa kwa kutumiwa kama kinga na HAMAS, Wengine wote waliouawa ni HAMAS.
Teh teh teh
Ati mwenye akili.
We ungekuwa na akili ungeenda kuomba sanamu likulipie kodi ya chumba?
Au likusaidie upate mimba fasta?

Anza na hapo kwanza kabla ya kujadili siasa usizozijua.

Juzi padri analalamika mmepeleka KAKAKUONA KANISANI mnaomba ufanye mpango umeme usikatike.

Duh...
Duniani kuna vibwengo live .
 
Ninavyoifahamu Israel kwa kiburi ni kama vile hawajui vimaamuzi mbuzi vya ICJ. Watazidi tu kuwawahisha wazee wa bikra 72 na mito ya pombe huko akhera hahahahahahaha! Israel piga mimbwa hiyo ilojaa ugaidi
 
Back
Top Bottom