Afrika Kusini yalalamika kwamba Israel haijatekeleza hukumu ya ICJ

Webabu

JF-Expert Member
Apr 29, 2010
7,183
10,920
Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni.

Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea kuua watu huko Gaza kwa kasi ile ile kama kwamba hakuna hukumu hiyo.

Waziri huyo akaongeza kuwa nchi yake ilipendekeza utolewe waraka wa kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na jambo hilo halikufanyika.

Hata hivyo Naledi akasema nchi yake itaendelea kufanya juhudi zaidi za kuiwajibisha nchi hiyo kwa jinai zake.

South Africa says Israel is already ignoring UN court ruling ordering it to prevent deaths in Gaza

1706886102246.png
 
View attachment 2891965
ITAFANYA NINI KWA WAYAHUDI????
WAISLAMU NA WAARABU WAMESHINDWA.....SASA YEYE MZULU ALIYESHINDWA KUWANYANGANYA WADACHI MASHAMBA NA ARDHI ILI KUWAGAWIA WAZULU WENZIE ATAFANYA NINII????
HATUTAKI MANENO BALI VITENDO.
 
Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni.

Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea kuua watu huko Gaza kwa kasi ile ile kama kwamba hakuna hukumu hiyo.

Waziri huyo akaongeza kuwa nchi yake ilipendekeza utolewe waraka wa kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na jambo hilo halikufanyika.

Hata hivyo Naledi akasema nchi yake itaendelea kufanya juhudi zaidi za kuiwajibisha nchi hiyo kwa jinai zake.

South Africa says Israel is already ignoring UN court ruling ordering it to prevent deaths in Gaza

View attachment 2891965
SERIKALI YA ANC INALALAMIKA.......KAMA WANAMGAMBO WA HAMAS WANAVYOLIA LIA KUOMBA CEASE FIRE 🤣🤣🤣🤣
 
Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni.

Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea kuua watu huko Gaza kwa kasi ile ile kama kwamba hakuna hukumu hiyo.

Waziri huyo akaongeza kuwa nchi yake ilipendekeza utolewe waraka wa kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na jambo hilo halikufanyika.

Hata hivyo Naledi akasema nchi yake itaendelea kufanya juhudi zaidi za kuiwajibisha nchi hiyo kwa jinai zake.

South Africa says Israel is already ignoring UN court ruling ordering it to prevent deaths in Gaza

View attachment 2891965
Netanyahuu alishasema hakuna wakuwazuia kuwafuta Hamas
 
safi sana,ule wakati wa kujua wao wateule au porojo tu umewadia
Nchi za Africa hasa zinye masikin wengi ndo zinao eti Israeli ni taifa teule na wanaamini hawa ndo wale waliotajwa kwenye billiards zao
 
Hiyo jeuri Africa ya kusaini anajitoa wapi? Uchami wake wa madini umeshika na familia za kiyahudi, huyo ananua ugomvi, ingekuwa ni rahisi hivi basi umoja wa kiarabu ungekuwa umesha enda kushitaki, 85% ya uchumi wa South Africa unamilikiwa na wazungu ambao ni 15% , hizo 15% ya uchumi wa South Africa ndo wanamiliwa Africans.
 
Waziri mkuu wa Afrika Kusini ametoa angalizo kuwa Israel inaendelea kupingana na hukumu iliyotolewa na mahakama ya kimataifa juu ya jinai za kivita iliyotolewa hivi karibuni.

Katika maelezo yake waziri huyo, Naledi Pandor amesema katika siku chache tu tangu hukumu hiyo itolewe Israel imeendelea kuua watu huko Gaza kwa kasi ile ile kama kwamba hakuna hukumu hiyo.

Waziri huyo akaongeza kuwa nchi yake ilipendekeza utolewe waraka wa kukamatwa kwa waziri mkuu wa Israel,Benjamin Netanyahu na jambo hilo halikufanyika.

Hata hivyo Naledi akasema nchi yake itaendelea kufanya juhudi zaidi za kuiwajibisha nchi hiyo kwa jinai zake.

South Africa says Israel is already ignoring UN court ruling ordering it to prevent deaths in Gaza

View attachment 2891965
mnasema idf wanakufa kama kuku , iweje washitakiwe wanaouliwa kama kuku ?
 
Nchi za Africa hasa zinye masikin wengi ndo zinao eti Israeli ni taifa teule na wanaamini hawa ndo wale waliotajwa kwenye billiards zao
hakuna mtu anazungumzia uteule , hizo ni story za vijiwen kwenu , ishu ni kwamb huwa mnaanzisha ugomv , kwann mnakuja kutaka na sisi tuwasaidie kulia ?
 
Waarabu hivyo kabisa, watu wanakufa wao wanasema viva hamasi viva, na pale hakuna mgogoro wa ardhi changamoto ni dini, dini ya kiislamu na dini ya kiyahudi, waisraeli na wapalestina wangekuwa dini moja ya kiislamu au kiyahudi wala wasingegombana, wangeishi kwa pamoja na kufanya maendeleo.
 
si mnasema idf wanakufa kama kuku?
Kuhusu kufa hatujasema sisi peke yetu.
kinachoshangaza ni kwanini wanakufa kiasi hicho na wanapigana na watu wasio na silaha hata asilimia 2 ya silaha walizonazo wao.
 
Hizi ni cheap politics

Ukraine kavamiwa na Russia, South Africa anawasuppoti wavamizi mpaka silaha aliwapa.

Israel kuvamiwa na hamas, south Africa mishipa imemtoka kutetea wavamizi.

Hapa ndio unaona South Africa ina viongozi wa aina gani ndio maana Africa hatuchukuliwi serious kwa chochote.
 
Ikiwa hufuatilii historia au ni mbinafsi basi mara zote unaumizwa na lile la kwako peke yako.Ya wengine huoni kuwa ni tatizo.
Oktoba 7 mwaka jana 2023 kilichotokea si chochote kuliko hasara iliyokwishawapata wapalestina kwa miaka 75.
Afrika kusini kwa vile yameshawafika ni rahisi kujua maumivu ya kubaguliwa na kutawaliwa kwa hila.Hilo ndilo lililowapa nguvu kusihtaki Israel
Siku mwanamfalme wa Saudia na Elsisi wakipatwa na njaaj na kuumizwa kidogo angalau kidole kimoja basi ndio watajua maumivu na watasikia mayowe ya wapalestina wanayoyapuuza sasa.
 
Tulishawaambia yule akbar akbar wenu mliyekua mnasifia siku mnashambulia Israel, ameshawikimbia, mpo wenyewe na hakuna atakayewaokoa, Mungu wa Wayahudi ana nguvu nyingi kuzidi wenu huyo.
 
Back
Top Bottom