Ujerumani yaiunga mkono Israel kwenye kesi yake katika mahakama ya ICJ

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
12,902
15,330
Ndio n ww peke yako maana hicho kitu hakina uhalisia kwa mtu mwenye timamu

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Kuna wakristo wengine noma sana bora hata huyu aliwahi kugundua ukweli, wao wanamini Paulo alikuwa mtume kumbe ni shetani kama taifa lake.

Alitumia ujanja kuandika neno la Israel alipo ambiwa mtume wetu Yakobo kuwa atamlinda na yeyote yule atamdhuru Mungu atamdhuru, Mungu alimpa jina lingine akaitwa Israel kwa kuwa alikuwa ni mwenye kusikiliza na kufata mafunzo ya Mungu.

Hawa Wayahudi ni kama vile shetan, wanaona mbali ndio wakabadili jusudi la bibilia eti limekusudia nchi si mtu haha wakati bibilia zimeandikwa kulikuwa hakuna nchi inaitwa Israel, sema kunawajinga kama kina wanawamini

huku wameisha fanya mpango wao watengeneze nchi waite Israel 😄 ili wawadanganye watu kama hawa.

Kwanza wawambie Yesu ni Mungu na Israel kakusudiwa Nabii Yakobo ndio jina lake lingine iwe nchi 😄


View: https://youtube.com/shorts/PrcN7SpRZWk?si=iKqx-mwlWqJ-69mV
 
Back
Top Bottom