Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Karibu, hatuendi jando lakini jinsi wazazi wetu wanavyoishi kama mke na mme ni darasa tosha zaidi ya jando. Msukuma akikuoa na ukapa true love, ukamhandle vozuri kiasi anapokuwa na stress unamtia moyo aisee wewe utakula mema ya nchi!

Kaka ww ndio hujaenda jando mbona sisi tumekwenda sio wasukuma wote
 
Cha ajabu wanawake wenyewe hawaolewi na wasukuma, kama wanadhani wasukuma ni wa miaka ile wawaibie, wasahau, ni wajanja siku hizi, unakuta hata ineternet wanatumia vizuri tu, sishangai ndio wanaoongoza kuchepua mademu humu MMU!
Mkuu,acha watuchague,usiwe na wivu.
 
Mnakataa ukabika wakati ukipeleka mchumba home swali LA kwanza unaulizwa JE NI KABILA GANI??
Wote sisi ni wakabila
 
Back
Top Bottom