Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Simplicity.

JF-Expert Member
Dec 19, 2013
2,636
1,656
Nimeona nyuzi nyingi zikijadili wanawake kwa kuangalia makabila yao lakini wanaume tumekuwa tukikwepwa hasa linapokuja swala la mahusino. Nataka nipate "clue" huenda nikachangamkia mwanamke wa kabila fulani iwapo wanawake wataonekana kukubali kabila langu kwenye swala la ndoa na mahusiano.

Wewe mwanamke ni wanaume wa kabila gani unawakubali na ungependa mmoja kutoka kabila hilo akuoe? Na ni mwanaume wa kabila gani, hata kama awe vipi na akuahidi nini huwezi kumkubali? Na sababu ni zipi? Toa sababu moja tu kwa kila jibu.

Hebu kuwa mwaminifu katika majibu yako ili tupate ranking ya ukweli kuhusiana na kukubalika na kutokukubalika wanaume kwa wanawake hapa nchini.

NB: mwanamke wa kumi kutaja kuwa anakubali kabila langu, nitakomaa naye mpaka nimuoe, hata kama yukoje.
 
Mimi nitaolewa na mwanaume sio kwa kabila lake Ila kwa upendo wake kwangu na personality yake. Unaweza pata Mtu wa kabila unalotaka Ila ukakuta kimeo asa utaolewa tu kisa kabila?
Marriage is more than that!Kwangu mie kabila is nothing kama tunapendana na anasifa ninazopenda.
 
Ni kweli, vyote ulivyosema huenda anavyo ila anatokea kanda maalumu ambako mapanga kwao ni kama mtoto wa kibrazili ambaye mpira ndiyo kalamu yake. Nini kinakujia kichwani kwa mara ya kwanza ndo kajinadi kwako
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie
 
asante kwa kutuchagua.
 
No comment.Nimejibu tu kama swali lilivyouliza.Angeuliza wakati unaolewa ulipenda kuolewa na kabila gani....ningejibu "wakati naolewa sikuangalia kabila.....".Ningejibu kama swali lilivyouliza.
Mkuu mbona unajibania ridhiki ingali hujaolewa!!!?
 
Mimi nitaolewa na mwanaume sio kwa kabila lake Ila kwa upendo wake kwangu na personality yake. Unaweza pata Mtu wa kabila unalotaka Ila ukakuta kimeo asa utaolewa tu kisa kabila?
Marriage is more than that!Kwangu mie kabila is nothing kama tunapendana na anasifa ninazopenda.

Assume wanaume wamepanga msururu mmoja kutoka kila kabila na wote wana sifa saw, utamchagua wa kabila gani?
 
Let love lead the way

Mkuu mimi kwenye kabila langu, na hizi mila zetu, ambazo wakati mwingine tunajifanya hazipo, kuna wanawake wa kabila fulani, nikioa naona kama nitatengwa, hawakubaliki kabisa! Ila leo nimewauliza ke.
 
Back
Top Bottom