Jina "Nyengombili" ni wenyeji wa mkoa gani na kabila gani?

Bongotunacheza

JF-Expert Member
Dec 7, 2018
718
1,643
Naomba kujua tafadhali. Jina Nyengombili ni kabila gani na wenyeji wa mkoa gani? Maana ya jina nini?

Nimelipenda sana hilo jina nataka nimuite mwanangu
 
Nyengo ni kifaa cha kukatia majani (kwa Mkoani Iringa) kina mpini mrefu wa kuni kama tu jembe afu mbele ni kama kimejikunja flani.
images (7).jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom