Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Stori za ki
Duh, Wasukuma sasa hivi mmepanda hadhi, miaka ya hivi karibuni msukuma alikuwa hatumii choo, halafu akija mjini choo cha kukalia, anauliza li nini hili, ntalipiga teke! Magu Heshima yako, hawa jamaa sasa umewapa kiburi.
Hicho k
Duh, Wasukuma sasa hivi mmepanda hadhi, miaka ya hivi karibuni msukuma alikuwa hatumii choo, halafu akija mjini choo cha kukalia, anauliza li nini hili, ntalipiga teke! Magu Heshima yako, hawa jamaa sasa umewapa kiburi.[/QHicho cha kupiga teke kinaingia akilini kweli?
 
Nimeona nyuzi nyingi zikijadili wanawake kwa kuangalia makabila yao lakini wanaume tumekuwa tukikwepwa hasa linapokuja swala la mahusino. Nataka nipate "clue" huenda nikachangamkia mwanamke wa kabila fulani iwapo wanawake wataonekana kukubali kabila langu kwenye swala la ndoa na mahusiano.

Wewe mwanamke ni wanaume wa kabila gani unawakubali na ungependa mmoja kutoka kabila hilo akuoe? Na ni mwanaume wa kabila gani, hata kama awe vipi na akuahidi nini huwezi kumkubali? Na sababu ni zipi? Toa sababu moja tu kwa kila jibu.

Hebu kuwa mwaminifu katika majibu yako ili tupate ranking ya ukweli kuhusiana na kukubalika na kutokukubalika wanaume kwa wanawake hapa nchini.

NB: mwanamke wa kumi kutaja kuwa anakubali kabila langu, nitakomaa naye mpaka nimuoe, hata kama yukoje.
mmh sheedah!ila sidhan kama kuna mahusiano kat ya ndoa na kabila.ntaolewa na mwanaume mwenye mapenz ya dhat na s kabila
 
Nimeolewa, nina mme, watoto na wajukuu. Wakati ninatafuta mchumba niliomba nimpate msukuma, mhehe sababu nilidhani wana mapenzi ya kweli na wakikosewa watajinyonga kwa ajili yangu. Sasa hivi sijui niamini lipi though it is too late. Nimeolewa na nimetulia ila nasikia wahehe wana mapenzi ya kweli,
Mme wangu si mhehe wala msukuma ila si mhaya wala mchagga au kabila nyingi mnazozijua. Mtindiga.
 
Unajarb kujipaisha kwa kuchafua wasukuma, unapoandika hivo maana yako nn haswa?
Usichukulie kila kinachoandikwa huku siriaz vinginevyo utaishia kutokwa povu buree....hapa sio jeshi useme nimevunja sheria!!!

Eti kujipaisha!!! ....halafu wapi nimewachafua wasukuma???
 
Sidhani kabila lina matter sana siku hizi. Kabila pendwa kuliko yote ni "Fat wallet" tu mengine vibwagizo. Watu hawaangalii umri wala sura iwe kabila!
hiyo fat wallet inaweza kuwa imejaa vitambulisho mbalimbali
 
Back
Top Bottom