Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Duh, Wasukuma sasa hivi mmepanda hadhi, miaka ya hivi karibuni msukuma alikuwa hatumii choo, halafu akija mjini choo cha kukalia, anauliza li nini hili, ntalipiga teke! Magu Heshima yako, hawa jamaa sasa umewapa kiburi.
Unamaanishaa...
1464003320977.jpg
 
Napenda kanda ya ziwa na kaskazini!

Kusini yote ,ukiondoa wanyakyusa! Siwapendi even kanda ya kati!
Jmn ni mtazamo tusijenge chuki
 
hiyo fat wallet inaweza kuwa imejaa vitambulisho mbalimbali

el nino;
Sijamaanisha aone mfuko tu uliotuna bali namaanisha; Akitaka out unamtoa fasta, kodi ya pango uitoe fasta, fridge ijae minofu mbalimbali, akikohoa umpeleke private. Atakuganda ka luba
 
kabila halimati ktk ishu ya
mahusiano
mimi naweza kuolewa na mwanaume wa kabila lolote lile but upendo wa dhat tuu ndio nguzo kuu.so kuchagua kabla sio ishuuu
 
Fresh..ila point ya msingi ni kwamba wewe ni mshamba wa kutoka mikoani..huko..ndo mlivyo ninyi watu wa mikoa kuutwa kuzungumza makabilaaaa...
Mkuu usione gere kutokutajwa, ukabila kwenye kuoa! Kuna makabila hata kama k yako ina almasi sioi! Wewe jifanye wa mjini unaangukia tu mwanamke yeyote.
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie
my dear ushachagua kabila then unasema mwenye upendo wa kweli?Kwa wasukuma si wote you think so wako hivo ndugu si wa mwanza wala shinyanga ndo hao wa mapanga isije ikawa umewasikia tu labda kama uko kwenye mahusiano na msukuma wa tabia hiyo mshukuru Mungu lakini sivyo hivyo nilishaonja joto ya jiwe kwa ulimhola sikuamini macho yangu na niliyoyasikia.So stick kwa upendo wa kweli mum.
 
Napenda awe msukuma,they are humble and caring na wanajali kwa kiwango chao na nnachotaka aniahidi na kutimiza ni upendo wa kweli na uaminifu na akitimiza hilo ntamkubali Mpaka kifo kinitenganishe nae..Sbabu upendo wa kweli na uaminifu ni vitu adimu sana katika kizazi hiki cha sasa...Sitaki magonjwa mie
Sina neno, ila maneno yako kiukweli umemaanisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom