Ungependa kuolewa na mwanaume wa kabila gani?

Hivi dunia hii Kuna wanaume wanaojua kupenda na kujali kama sisi wajita
Tatizo lenu kaka zangu kina "yego mura unu" ni misimamo isiyo na mantiki somtyms, sasa unafkiri mwanamke wa kichaga ukimletea misimamo yenu iyo utampata? Nyie wanawaweza walewale wanawake zenu na wakerewe..
 
Nimekaa hapa nakausha mafuta na nyagi .. Leo nimekauka light haitembei
Kiukweli nimetokea kukupenda hasa nikioanisha na coment zako humu JF,napenda tuwasiliane kiukweli na sio kiutani utani kama ilivyokuwa hapo awali,je umenielewa we binti?,i am serious na ni handsome wa kiukweli na pia MJASIRIAMALI.,njoo PM basii hata ki bahati mbaya tuuu kama vile umekosea njia au vipi?,na hamna mtu atajua sababu itakua siri yetu wawili tuu,na hata mtoto au watoto wako watakua wangu mimi nitalea na kusomesha.
 
Nimeona nyuzi nyingi zikijadili wanawake kwa kuangalia makabila yao lakini wanaume tumekuwa tukikwepwa hasa linapokuja swala la mahusino. Nataka nipate "clue" huenda nikachangamkia mwanamke wa kabila fulani iwapo wanawake wataonekana kukubali kabila langu kwenye swala la ndoa na mahusiano.

Wewe mwanamke ni wanaume wa kabila gani unawakubali na ungependa mmoja kutoka kabila hilo akuoe? Na ni mwanaume wa kabila gani, hata kama awe vipi na akuahidi nini huwezi kumkubali? Na sababu ni zipi? Toa sababu moja tu kwa kila jibu.

Hebu kuwa mwaminifu katika majibu yako ili tupate ranking ya ukweli kuhusiana na kukubalika na kutokukubalika wanaume kwa wanawake hapa nchini.

NB: mwanamke wa kumi kutaja kuwa anakubali kabila langu, nitakomaa naye mpaka nimuoe, hata kama yukoje.
Unaanza kupandikiza ukabila bila hata kujua. Ukabila uanza kiutani utani kama thread yako.
 
Mkuu usione gere kutokutajwa, ukabila kwenye kuoa! Kuna makabila hata kama k yako ina almasi sioi! Wewe jifanye wa mjini unaangukia tu mwanamke yeyote.
Gere kwenye ukabila? K ? mbona haueleweki na hauna hoja? Mwanaume tangu lini akajidai ukabila ni ushamba unakusumbua? kuangukia kwa mwanamke yeyote? sasa mwanamke si mwanamke? kwaio utakapofikia ndo umeangukia dude...? mbona hueleweki? mwanamke yeyote si yeyote...??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom